Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?