Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Waliberali watishia kutembea UCHI toka Dar hadi Dom kudai kutambuliwa kwenye katiba mpya.
 
Huu uzi umechoka hauna mashiko ndio maana watu wameamua kujadili ndivyo sivyo
 
dawa yangu ya mchwa haifanyi kazi,wale wahuni watakua wameniuzia feki.....!
 
ile hela yangu ya nyumba mwisho kesho,kama hutanilipa mapema naenda mahakamani ili FIFA wakufungie kupanga sehemu yoyote hapa duniani.

kwe kwekwe kwe! Mkuu umetisha humu. Maana toka mbio za mwenge zianze na tembo wanapotea kimya kimya.
 
Maumivu yakichwa huanza taratibu!! Tumuache Msigwa apumzike kwanza c kilawakati aongee
 
daaa bar na ukumbi wa stereo unawaka moto zimamoto zimefika kuzima moto ila zimeishiwa maji
 
389185_10200327903783909_1601217024_n.jpg
 
Serikali ni kiboko haimuogopi mtu hasa kupitia kwa kamuhanda Kwani yeye hajui huko kuna KABANG
Kesi zinazidi siku hadi siku, ikidondoka moja tu ni KABANG
 
Kweli JF kiboko,nilikuwa na mastress lakini baada ya kusoma hii thread nimecheka mpaka
machozi yananitoka na mastress kwishia mbali.Kiukweli makamanda mmetisha kwenye huu uzi
mpaka mtu kala BAN'
 
Mheshimiwa Msigwa anamsubiri Mzee Abdulrahmani Kinana apeleke kesi Mashakamani,hivyo alichozungumza Bungeni kuhusu ujangili na uhayawani wa KINANA HAWEZI KUKIZUNGUMZA TENA maana alishakamilisha.Kuhusu suala la WAMACHINGA IRINGA kesi iko mahakamani si vizuri kuiongelea tena.Alishawahi pia kusema TATIZO LETU KUBWA:AKILI NDOGO KUONGOZA KUBWA NA AKILI IULIYOZALISHA TATIZO KUJARIBU KUTATUA TATIZO:Kiuchungaji ameshamaliza mahubiri.Kama hadi hapo uko upande wa CCM wewe ni akili ndogo na tena akili iliyotufikisha NCHI NZIMA hapa tulipo,na hakika CCM HAITAWEZA KUTUTOA
 
Jamani mbande njia ya dodoma mbuzi ni watamu mno..

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom