Vigumu sana kuwatenganisha chadema na anguko hili la elimu hapa Tanzania kwakuwa;
Chadema wanaongoza katika kufitini serikali na wananchi katika mambo mengi hata pale ambapo ukweli ulivyo serikali imejitahidi kiasi chake na huku ikiendelea kushughulikia matatizo mengine ya wananchi.
Mbowe anamdogo wake wizara ya elimu anaeshutumiwa kutengeneza mazingira ya vijana wetu kufeli lengo lilelile la uchonganishi.
Chadema imeandika barua kwa wafanyabiashara ili bei ya bidhaa zipande ili aendelee kuumia mwananchi lengo lilelile uchonganishi.
Chadema inapotezea wananchi hasa wanafunzi muda kwa kuwashajihisha waandamane huku wakiacha kufanya kazi za kuzalisha na kwa wanafunzi kutumia muda wao kutembea mabarabarani lengo unalijua? Uchonganishi hasa pale mtu akishinda kuandamana jioni akilala na njaa chuki zote kwa serikali, mwanafunyi huyu alietumia muda wake mwingi kuandamana akifeli tuhuma kwa serikali.