Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kuna tetesi kuwa Mwigulu leo alikunywa lita mbili za uji kabla hajaingia bungeni..naomba mlioko kwenye familia ya Mwigulu mtupe taharifa kamili kabla siku haijaisha
 
Wenzetu ambao mnaweza kupata taarifa toka iringa mtujuze msigwa alifanywa nini mbona kawa kimya.
Hivi Mulugo alishawashtaki wale wabaya wake?

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Post hii imesaidia pia kujua vijana wa bavicha ambao kazi yao ni kupindisha mada na kutukana mbona leo hamtukani au matusi yamewaishia au yawezekana msigwa ndo mtambo wa matusi kwa vile polisi wamemfunga mdomo ndiyo maana mnakosa kiongozi wa matusi.
Polisi wamemfunga mdomo polisi wamemfunga mdomo Bavicha hoyeee
 
We jamaa ulieniibia simu yangu E72 rUDISHA KABLA HUJAJEUKA KICHAA! Mtaalamu anasikilizia bado siku 4 utaokota makopo
 
Kamhanda anajua vema kudili na wahuni wa aina ile make kamtuliza sigwa kabisa.
 
Kuna tetesi kuwa Mwigulu leo alikunywa lita mbili za uji kabla hajaingia bungeni..naomba mlioko kwenye familia ya Mwigulu mtupe taharifa kamili kabla siku haijaisha

Maswali kama haya anajibu Zemarcopolo SUMU M23 BUNGENI NA MALIBERALI WENGINE NGOJA WANAKUJA SASA HVI TUTAPATA MAJIBU. Hao ndio MISIKULE YA MWINGULU.
 
Naona hii thread imekuwa soko mara kabichi, mara mhindi wa kuchoma nilijua computer yangu inachanganya madesa nika restart lakini bado! Mods naomba mwongozo wako!
 
Naona hii thread imekuwa soko mara kabichi, mara mhindi wa kuchoma nilijua computer yangu inachanganya madesa nika restart lakini bado! Mods naomba mwongozo wako!

kilimo cha maparachi kimekataa kabisa safari hii.
 
Back
Top Bottom