Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Mkuu kibwete hata mi nina swal kama lako ambalo linazunguka kichwan lakin nikaona nikiuliza me naweza nikambiwa nimeshazivuta za Mwigulu.

BTW: Hatuwez jua sababu ubunge si kuongea tu bungeni huenda yapo majukumu mengine yanayomtinga jimboni kwake.
 
Last edited by a moderator:
SeriaMtoto WikiLiks Tumainiel
Shockings News!!
Green Guard wa CCM Arusha Wamempasua na
shoka Kijana wa Chadema Kata ya Elerai... yuko
mahututi Mt Meru Hospital..! Tumuombee uzima
kwa Mungu..
Siku zote CCM wakizidiwa hukodi wahuni na
kuwatuma kuua raia.. Kwa hapa Arusha huu ni
ukatili wa nne wanafanya tangu kampeni zianze
na Chadema wameshauriwa wasilipize chochote..

Very sad news aliyempasua kakamatwa, watafanya hivyo kwa sababu Kikwete ndio mwanzilishi wa mauaji ya raia bado kidogo tutaingia kwenye mauaji ya kimbali
 
Wenzetu ambao mnaweza kupata taarifa toka iringa mtujuze msigwa alifanywa nini mbona kawa kimya.
 
Mkuu kibwete hata mi nina swal kama lako ambalo linazunguka kichwan lakin nikaona nikiuliza me naweza nikambiwa nimeshazivuta za Mwigulu.

BTW: Hatuwez jua sababu ubunge si kuongea tu bungeni huenda yapo majukumu mengine yanayomtinga jimboni kwake.
Nashukuru mkuu kwa kuniongezea maarifa make nimekuwa nikijiuliza sana juu ya hili suala.
 
Very sad news aliyempasua kakamatwa, watafanya hivyo kwa sababu Kikwete ndio mwanzilishi wa mauaji ya raia bado kidogo tutaingia kwenye mauaji ya kimbali

Mkuu hali ikoje kwa sasa baada ya hilo tukio?
 
kati ya wabunge wote waliowahi kuwa wabunge wa iringa mjini a.k.a warriors city hakuna hata mmoja wa kumfananisha na jembe mchungaji msigwa...yan hakunaga..yan ndo kama rais wa iringa..
 
Serena Williams ashinda tena michuano ya tenis ya Wimbley...
 
Post hii imesaidia pia kujua vijana wa bavicha ambao kazi yao ni kupindisha mada na kutukana mbona leo hamtukani au matusi yamewaishia au yawezekana msigwa ndo mtambo wa matusi kwa vile polisi wamemfunga mdomo ndiyo maana mnakosa kiongozi wa matusi.
 
Serena Williams ashinda tena michuano ya Tennis ya Wimbley.....
 
Jamaa mmoja aliniambia ukienda polisi mbali na adhabu ambazo zipo kisheria lazima wakupe adhabu zingine wanazozijua kadri watakavyoona inafaa.
 
Safiii ameshika adabu. Hawa bavicha upeo wa kufikiri ni mdogo sana, kashindwa kanisani ataweza jmbo? Awashukuru WanaCcm waliompitisha na ndo mwisho wake 2015 hamtamsikia akitupigia kelele na kusimamisha shughuli za kutafuta kipato pale Iringa. Umaarufu hauji kwa mwendo huo.
 
Hivi zile kabichi zitaingia saa ngapi kutokea Morogoro? Nijibu mapema nijiandae...
 
kati ya wabunge wote waliowahi kuwa wabunge wa iringa mjini a.k.a warriors city hakuna hata mmoja wa kumfananisha na jembe mchungaji msigwa...yan hakunaga..yan ndo kama rais wa iringa..
Kwa matusi au kwa ufupi,sasa mbona kaenda polisi karudi kimya kulikoni.
 
Mke wangu sitokaa nikusaliti kamwe!Hivi ulienda tena shule leo
mwalim wenu anaitwa nani tena?
 
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.

Hivi Wambura atagombea tena uongozi wa TFF.
 
Safiii ameshika adabu. Hawa bavicha upeo wa kufikiri ni mdogo sana, kashindwa kanisani ataweza jmbo? Awashukuru WanaCcm waliompitisha na ndo mwisho wake 2015 hamtamsikia akitupigia kelele na kusimamisha shughuli za kutafuta kipato pale Iringa. Umaarufu hauji kwa mwendo huo.
Sure mkuu kitanzi chake nadhani kimewadia.
 
Acha kutuzingua et Msigwa n kama rais wa Iringa! We kajipime cognitive yako.
 
Back
Top Bottom