Hivi JK a.k.a Dingi Ritz a.k.a Dingi mwanasha a.k.a Fast Jet ni RAIS WA NCHI GANI?
Mzee sita alisema msigwa ni mhuni wa kawaida tu.
...kumbe muhindi wa kuchoma ni tunda!..."tafadhali muhudumu nipatie kiloba chupa mbili"....
maalim seif awaonya wapiga punyeto bafuni
Jamaa alimsevu hawara salimu akimaanisha salima akashtukiwa akabadili jina akamsave BATTERY LOW, siku alipokua anaoga hawara akabeep mkewe alipoangalia aliebip akaona battery low akaenda kuchomeka kwenye chaji jamaa akasave msala.
Kuna nyimbo moja inaitwa mbulula mbulula mbululaaaaa......, hivi kaimba nani?, mwenye link ya huu wimbo msaada pls!
Nataka niwe Mwanachama wa Yanga nipeni hints