Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

Fungua hapa utapata jibu kama yuko kimya au lah!

https://www.facebook.com/photo.php?v=10151449612606130&set=vb.666091129&type=2&theater

Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?
 
Toka nineanza kudurufu huu uzi nimecheka sana, mpaka mate yamenipalia. Kinachofuata sasa nahisi ni mwenye nyumba kuniongezea kodi ya pango au kupewa notice ya mwezi moja. Jf iz "maguru gane"
 
Jamani kuna memba hapa kasema ana matikiti, nahitaji gunia 17 fasta nina hamu nayo sana maana nimetoka jela (ban) jana tu!
 
Jamani kuna memba hapa kasema ana matikiti, nahitaji gunia 17 fasta nina hamu nayo sana maana nimetoka jela (ban) jana tu!

Mkuu hapa kuna maembe mabichi na mapera so kama utahitaji basi nicheki hapa 0775812634568,
 
e bwana mi nafanya kazi bank hapa Diamond juzi kadanganya sio bilioni moja jamaa anayo 11 billions na jana kuna hela imeingizwa na warner bros dollar 500,000 wanataka akacheze movie na penelope cruz
 
Hivi kiongozi wa TOT Taarabu kwa sasa ni nani vile? Mimi inanichanganya kwa sasa. Kwani muhishimiwa akitoka kupiga mbonji mjengoni, huwa anakwenda tena kuwa popo?!
 
Usingizi umegoma sasa ngoja niingie facebook(Fesubuku).

Kuku kapanda baiskel
Bata kavaa raizoni.
 
Nipimie maharage sahani moja na chapati kumi,

Chenji yangu nitafuata baadae

hivi huyu kibwete wa humu sio ndo yule alichoma watu kule Uganda halafu akaingia mitini?kafupisha jina lake!mh!we kibwetere si ulisema uko pande za A town wewe?afu ulisema una aleji na nyumba za ibada!nishampata aliyelipua kanisa ngoja nimvutie uzi yule mzee Jak Joka wa Tisu!
 
Hivi kiongozi wa TOT Taarabu kwa sasa ni nani vile? Mimi inanichanganya kwa sasa. Kwani muhishimiwa akitoka kupiga mbonji mjengoni, huwa anakwenda tena kuwa popo?!

kiongozi wao sasa hivi ni bi hilari kilintoni!mheshimiwa bado anachapa usingizi mjengoni.nyama choma hizo!hazisagiki tumboni haraka matokeo yake mbonji twenti fo hawaz!
 
Ndugu zangu wanajf tangu mbunge wa iringa mjini alivyokamatwa na jeshi la polisi na kulala rumande kwa siku moja katika kituo cha polisi iringa amebadilika sana hii ni pamoja na kuwa na adabu ya aina yake ikiwa ni pamoja na kuacha kuongea ongea najiuliza je ni miongoni mwa masharti aliyopewa polisi au polisi wamemfanya nini au pengine ameamua kuchagua aina nyingine ya maisha?

Atakuwa ameona siasa za vurugu hazina maana hasa kwakuwa yeye ukiachilia mbali uwana siasa ni mchungaji na mchungaji anapaswa kuilinda heshima yake.
 
Wanauzwa hawa! Ukiwataka nicheck kwa no hii 119... msi-beep ndg wateja.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1370465218241.jpg
    uploadfromtaptalk1370465218241.jpg
    73.4 KB · Views: 66
Faida ya zao la mhogo ni chakula chenye wangu ambapo unaweza kuchemsha mhogo,kukaanga au hata kuteneza kashata. Magamba ya mhogo ukichemsha, ni chakula kizuri cha swine, matawi ya zao la mhogo ni kuni lakini vile vile ni mbegu unaweza kupanda ili baada ya miezi minne uvune mihogo mingine.Lakini pia, majani ya mhogo ni mboga nzuri sana bila kusahau kwamba ni chakula cha mbuzi na kondoo. Faida tengefu ya mhogo, hustahimili ukame na ardhi yenye rutuba kidogo. Nawashauri wana JF wenzangu wenye vishamba, limeni zao la mhogo.Ahsanteni sana
 
Dah!Hii thread imefika huku??Mods waiache kabisa maana wengine inatuondolea stress.
 
Back
Top Bottom