Kwani Peter Msigwa alifanywa nini polisi?

labda ni ushamba wangu,au sijui kutotembea kwangu mjini na vijijini,ngoja niwaulize wana jf eti ulishawahi kumuona MWANAJESHI ALBINO?
 
61696_4687449547901_657400097_n.jpg

hahaha ha ha kweli jf hamuhishi majibu mpaka na picha zimeanza kuwekwa. Kweli mleta uzi hasipoelewa basi...!
 
dawa yangu ya mchwa haifanyi kazi,wale wahuni watakua wameniuzia feki.....!

nimetoka kwa fundi leo kurekebisha saa yng ya mkononi aliyonipa mke wangu mpenzi(mama Glory) wakati namaliza chuo kikuu,wakati wa ujana wetu.
 
Kweli JF kiboko,nilikuwa na mastress lakini baada ya kusoma hii thread nimecheka mpaka
machozi yananitoka na mastress kwishia mbali.Kiukweli makamanda mmetisha kwenye huu uzi
mpaka mtu kala BAN'

mkuu nani "kagongwa" BAN tena? Ukikutana na Ban kupitia huu uzi basi jitoe jf. Teh hehe yani umeanza kimasihara kama maumivu ya kichwa. Binafsi nimejikuta naanzia kwenye huu uzi kila ninapo sign in.
 
embu jitahidi basi kazi iishe mapema leo.nimeshatuma lactic na na earth rod bwana fundi
Kwa hiyo kwa akili yako watu wa iringa walimtuma akamjadili kinana tu,sasa mbona kamjadili hadi kachoka na kinana anaendelea tu kujenga chama chake wala hajatikisika.
 
ip adress 223;98756;;77892244= embu mkuu ushawahi iona hii adress au nisaidie kuikokotoa na kuireset maaan natuma email insema niingize branch code...kama nilivyokudokeza nadhani kuna HAKAZ around
Post hii imesaidia pia kujua vijana wa bavicha ambao kazi yao ni kupindisha mada na kutukana mbona leo hamtukani au matusi yamewaishia au yawezekana msigwa ndo mtambo wa matusi kwa vile polisi wamemfunga mdomo ndiyo maana mnakosa kiongozi wa matusi.
 
uliberali huu unakusumbua sana ndugu yangu sasa embu ng'oa huoo msumari hapo juu kwa nguvu ila usichafue hali ya hewa
msigwa anajua tu kupiga kelele lakini alivyofika polisi kawa mpole na katulizwa chezea kamhanda wewe.
 
Wakuu, kuna kitabu cha Yoweri Kaguta Museven al maarufu M7 kinaitwa sowing the musturd seed, nimejaribu kukitafuta kwenye bookshops hapa dar sijakiona, kama kuna mtu katika pitapita zake amekiona mahali naomba anijuze, Pia vitabu kama tujisahihishe, uongozi wetu na hatima ya Tanzania vya Mwalimu, pamoja na not yet uhuru ​cha Jommo Kenyata.
 
Vigumu sana kuwatenganisha chadema na anguko hili la elimu hapa Tanzania kwakuwa;
Chadema wanaongoza katika kufitini serikali na wananchi katika mambo mengi hata pale ambapo ukweli ulivyo serikali imejitahidi kiasi chake na huku ikiendelea kushughulikia matatizo mengine ya wananchi.
Mbowe anamdogo wake wizara ya elimu anaeshutumiwa kutengeneza mazingira ya vijana wetu kufeli lengo lilelile la uchonganishi.
Chadema imeandika barua kwa wafanyabiashara ili bei ya bidhaa zipande ili aendelee kuumia mwananchi lengo lilelile uchonganishi.
Chadema inapotezea wananchi hasa wanafunzi muda kwa kuwashajihisha waandamane huku wakiacha kufanya kazi za kuzalisha na kwa wanafunzi kutumia muda wao kutembea mabarabarani lengo unalijua? Uchonganishi hasa pale mtu akishinda kuandamana jioni akilala na njaa chuki zote kwa serikali, mwanafunyi huyu alietumia muda wake mwingi kuandamana akifeli tuhuma kwa serikali.
Serikali marehemu dhaifu mpaka inachonganishwa,mdogo wake mbowe superpib kama ananyamzisha serikali dhaifu pekee yake ,wananchi hawazalishi kwa sababu mama yako analisha vijana wote wa nchi hii ndio anawalimia huko vijijini ambako wako aslimia 75,kuandamana ruksa sheria inaruhusu na mtu anatembea kwa kwa miguu yake kwa kukubaliana na sera sahihi sio mfu,mbona wewe na mama yako na ndugu zako chadema imewaweka mjini ,wewe ndio mchonganishi una sura mbili
 
Nyamu nyamu nyamu!!!we mama muuza ongeza chang'aa ya buku...ya leo umemix ns mav... Nn mbona kali sana!!
 
Usimpe tena pombe ameshalewa na kesho anasoma bajeti ya wizara na makadirio ya fedha za kununua kura za uchaguzi mdogo
 
Back
Top Bottom