Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,379
- 94,682
Umeamua kutuokota sio 😹
Hii nakataa, hivi unafanya mchezo wewe na ugonjwa huo?
Ungekuwa nao hata nguvu za kuingia humu usingekuwa nazo..!!
Umeamua kutuokota sio 😹
Tayari ankoAnko nitumie message please
Mimi naogopa kufa sababu nina watu ambao napenda kila siku nikiamka niwaone.Ila wewe 🥲
Unajua nilikuwa nacheki hii ID, sioni Ile Picha yako pendwa inayokutambulisha nikawa naendelea kusoma mpaka Hapo kuna madu amesema umetoa mpaka profile yako.Ndoto ya kuwa na mtoto ilikuwa mwaka huu
Sijafanikiwa
Ni Cancer gani?Ndoto ya kuwa na mtoto ilikuwa mwaka huu
Sijafanikiwa
Kwa kweli wale wa karibu yangu waliokufa kwa cancer nikawashuhudia sio kitu cha mchezo, miezi ya mwisho ni ya mateso makali sanaaaa!Umeamua kutuokota sio 😹
Hii nakataa, hivi unafanya mchezo wewe na ugonjwa huo?
Ungekuwa nao hata nguvu za kuingia humu usingekuwa nazo..!!
Hadi mimi dah!Mimi naogopa kufa sababu nina watu ambao napenda kila siku nikiamka niwaone.
Itakua kapima kagundua yupo stage flan kapanga kujipiga red card.Pengine kuna kitu analenga kutafuta humu huwezi kubakiza Miezi miwili ukawa na nguvu za kuruka ruka humu mitandao sijui hiyo Itakuwa ni Kansa ya Aina Gani.
Joanah anatuaga eti anakufa😭Nini kimetokea Mkuu
Ndo mimiNi joanah huyhuyu ninayemfahamu au kuna mwingine?
Unajua nilikuwa nacheki hii ID, sioni Ile Picha yako pendwa inayokutambulisha nikawa naendelea kusoma mpaka Hapo kuna madu amesema umetoa mpaka profile yako.
Don't know you personally but you are amongst the realest Humu.
I don't know what you feel, but sorry for what you are going through.
Ndio mkuuMh upo serious?