Aishi sana.Nahisi hizo taarifa angezipuuzia tu, labda wamwambie ni cancer ya stage gani...
Be blessed.Huu ndo upuuzi wa JF
Ulichoandika hapo natakiwa nikushike matakko huku nikikuaminisha sio?
Fvck off mzee
Lengo la uzi sio kubembeleza mtu aamini
Ooh okay,. Hapo nimekupataHii ni picha tu kama picha zingine Lee
Mtu kuweka picha ambayo naitumia mimi ni ajabu kweli....lakini ni kawaida
Na mimi nitaanza kuitumia hiyo picha kama urithi wangu,Hii ni picha tu kama picha zingine Lee
Mtu kuweka picha ambayo naitumia mimi ni ajabu kweli....lakini ni kawaida
Hiyo Avatar yako naona shemeji yetu kabeba katoto ka kizungu,Ooh okay,. Hapo nimekupata
Tena ameweka chumvi baada ya sukariCHAI
Sio kweli😂😂😂😂,.Hiyo Avatar yako naona shemeji yetu kabeba katoto ka kizungu,
Umembambikia nini?