Pole sana mamaangu.Sasa mbona mie nina mpango wa kupotea kama nilivyokuja humu 🥺
Pengine kuna kitu analenga kutafuta humu huwezi kubakiza Miezi miwili ukawa na nguvu za kuruka ruka humu mitandao sijui hiyo Itakuwa ni Kansa ya Aina Gani.Joanah kama unatuigizia it's okay. Nachojua mtu anapoambiwa kansa yake ipo terminal basi anakua katika hali mbaya ambayo hata yeye kutumia simu hawezi kivile. Usifanye mchezo na huu ugonjwa.
Bro mtoto wa mamkubwa Kafariki kwa Ini
Nimefiwa na wengine wawili kwa kansa wote hata kuongea na simu ilikua tabu. I wonder wewe unaweza kuwepo na kujibizana. Naongea kwa experience ya kuwaona wahanga wa ugonjwa huu hasa wakiwa Terminal Stage
Pengine kuna kitu analenga kutafuta humu huwezi kubakiza Miezi miwili ukawa na nguvu za kuruka ruka humu mitandao sijui hiyo Itakuwa ni Kansa ya Aina Gani.
Pole sana mamaangu.
Hii taarifa siipendi,nahofu kuagwa kama ulivyo fanya, inaweza ikawa ni dalili tu kwake lakini akili yangu imehama. Sitamani itokee lakini ndio hivyo,sijui Mungu maamuzi yake,sina ujasiri.
Mungu akutie nguvu hadi dakika ya mwisho.
Pole SanaHey people,
Uzi huu ni wa kuwaaga wanaJF wenzangu
Nimekutwa na cancer ambayo kimsingi nimepewa taarifa kwamba ndani ya miezi miwili sitakuwepo
Naumia lakini sina jinsi
Punguzeni Utani na Kansa jamani. Maumivu wanayopitia wanaosumbuliwa na huo ugonjwa hasa hatua za mwisho ni makali mno.Wacha niendelee kuruka ruka
Ni kweli pengine kuna kitu natafuta kwenu nyie wenye fake IDs motherfuvkers 🖕
Hao wenye makwazo ya reja reja wapo kila mahali,wasikutoe kwenye njia uliyo amua kupita huku ukitaabika.Wacha niendelee kuruka ruka
Ni kweli pengine kuna kitu natafuta kwenu nyie wenye fake IDs motherfuvkers 🖕
Hata mimi nimestuka. Miezi miwili unakuwa umechoka sanaJoanah kama unatuigizia it's okay. Nachojua mtu anapoambiwa kansa yake ipo terminal basi anakua katika hali mbaya ambayo hata yeye kutumia simu hawezi kivile. Usifanye mchezo na huu ugonjwa.
Bro mtoto wa mamkubwa Kafariki kwa Ini
Nimefiwa na wengine wawili kwa kansa wote hata kuongea na simu ilikua tabu. I wonder wewe unaweza kuwepo na kujibizana. Naongea kwa experience ya kuwaona wahanga wa ugonjwa huu hasa wakiwa Terminal Stage