Kwaherini JF

Status
Not open for further replies.
we inabidi nikuokotee mawe tu hamna namna,,
naomba ujitulize kidogo ushushe pumzi unywe maji alf uwavutie taswira watu wakupendao esp familia yako na huyo mwenzio watakua kwenye hali gani? tena huyo bby dady wako ndo utamtesa zaidi maana ndugu zako watahisi na yeye kachangia kumbe si kweli,, kuna nafsi zitabaki na majonzi kwa ajili yako broo,

basi kama hautaki kufanya kwa ajili yako, do for them
 
Bro leo hulali kwanza? πŸ˜‚
 
Kabla sijaandika uzi nilishawasiliana na mods

Mimi sio mtu wa drama

Kimsingi nipumzike kwa amani, sijawahi kudhani kama nitapata mwanga wa kifo changu namna hii
Mkuu ikiwa nitaanza mimi kufa au laa..
Natamani nishiriki mazishi yako ikiwa utanitangulia mahali pa giza.
Nitafanyaje kujua mahali utapofia na taratibu za mazishi yako.
Hii kama nitabaki hai kabla yako, natamani japo niguse jeneza lako.
Mkuu Joanah Toa mwongozo
 
chanzo ni wew bro utafanya kesho nichelewe kuamka kwenda kutafuta ugali, hata sijui kwanini nakufeel

kwani do i know you? au umeniwekea ka kituπŸ˜…

Skia we kesho chelewa kwenda kutafuta ugali kwani rambi rambi si utakusanya wewe na The Icebreaker ? Mkizikusanya chukua hapo na yule jamaa wa 20K wa mkopo wa jana nae mkopeshe
 
Sasa mbona mie nina mpango wa kupotea kama nilivyokuja humu πŸ₯Ί
 
Skia we kesho chelewa kwenda kutafuta ugali kwani rambi rambi si utakusanya wewe na The Icebreaker ? Mkizikusanya chukua hapo na yule jamaa wa 20K wa mkopo wa jana nae mkopeshe
sawa rambi rambi tutakusanya ila fanya kama tulivyo ambiana hapo juu,, ikitokea nimetangulia ya kwang utaikusanya wew na crush wako mshamba_hachekwi ili mkailie mihogo na samaki wa kuchoma cocobeach πŸ˜…
 
Asee leo nimeshinda cocobeach na mihogo nimekula

Umeniona nini wewe kachawi? πŸ˜‚
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…