Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Ubarikiwe sana mpendwa ukipata mtu anayekuombea mema maishani inatia faraja sana,Mungu akuongoze mwaka ujao akuepushe na mabaya ya dunia zaid ya yote akufanikishe katika mipango yako katika jinaa la Baba, la Mwana na la Roho Mtakatifu Amen....

ahsante mkuu!

muendelee kubarikiwa.. wote!!
 
mi sikuji sijaitwa!
NIMENUNAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAJE!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,.. mmh! na wengineo wooote!!!!!

santeeeeeeee!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Thanks sana Excel!
Ubarikiwe sana!

kwa #2 na #3 umenikumbushia maisha ambayo kamwe sitasahau, nakumbuka enzi no majukumu just kusoma na kula bata kwa pocket money. kuomba extra ikiitajika.

Mungu awe nasi tunapoingia mwaka mpya, maana enzi hizo nakumbuka nilikuwa sikai kufikiria eti kunywa na kuendesha watu tulisepa tu.

Namshukuru Mungu kwa familia yangu now najua majukumu.

Kesho mie ndani, nitasali na live service kwa tv.

Nakutakia mwaka mpya mwema.

n.b. mimbo hiyo imetaka kuniliza

Ah nami enzi hizo nikiwaomba wazee hela wakisema hawana nilikuwa Nawashangaa mana wanaenda kazini kila siku afu hawana hela inakuwaje..mwe ila sasa naelewa..
 
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,.. mmh! na wengineo wooote!!!!!

awe nawe pia Excel be blessed
 
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!

barikiwa nawe ndg uzao wako uwe km wa ibrahim na uone mwqka 2014
 
meneja wangu bora awe paw. manake unajua atashinda home na kitenge kiunoni kifua wazi! ataruhusu kweli unielekeze jinsi ya kushika uma ama kukoroga mchudhi? binduki itakuhusu, kaa mbali meneja
naomba niwe manager wako! lights zitakuwa jiko la umeme!

vile vimoshimoshi vitatoka kwenye jiko la kuni!

microphone itakuwa uma!

sufuria zitakuwa drums.. iam a good manager indeed!
 
Yaani mie nitafungua shampeni mapeeema saa 3 na watoto, tunywee then tulale.

Happy New Year Pipoz.

Hahahahahahaaa!
Nawewe heri na baraka ya mwaka mupya iye nawe (with ur family)
...
1 Nimekumithi!
2 uthinikothe wakati wa kunywa shampen!
 
meneja wangu bora awe paw. manake unajua atashinda home na kitenge kiunoni kifua wazi! ataruhusu kweli unielekeze jinsi ya kushika uma ama kukoroga mchudhi? binduki itakuhusu, kaa mbali meneja

achana na Paw wewe!! mtu mwenyewe hajui hata kubembeleza!! sauti mikwaruuuzo kama nini!

yeye kidogo tu kakupiga ban!

mimi walah! hio mambo sina! ntakulisha, ntakuogesha na stage mpya ntakununulia!

mmh, hii avatar The Boss keshaiona? unamharibia mwenzio soko atii. the boss nampendaea avatar yake, kaa chonjo manake karibia naanza na wewe
The Boss ndio nani? eenh? hebu mwambie aje ajitambulishe bana!

na aje pole pole atiii, anaweza rudi mzobemzobe!
 
Last edited by a moderator:
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!

Asante mpendwa..
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom