Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

FLORA+AND+SHILOLE+24.12.2013+AT+HOME+115.JPG
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
Mungu akubariki na wewe BAK huu mwaka uwe wa baraka . Nimecheka hivi hujawahi omba pesa ya kununulia Bunsen burner kweli. Mimi nimepanga kuusherehekea hapa hapa home na familia yangu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!!! na hizo nazo nilikuwa nishatafuna hahahahah. Haya kila la heri na baraka wewe na familia katika sherehe za kuuaga 2013 na kuukaribisha 2014.

Mungu akubariki na wewe BAK huu mwaka uwe wa baraka . Nimecheka hivi hujawahi omba pesa ya kununulia Bunsen burner kweli. Mimi nimepanga kuusherehekea hapa hapa home na familia yangu.
 
Mkuu MziziMkavu hivi unapomtaja Mwenyez Mungu ukimix na hizi nyimbo za mapepo unamtendea haki kweli? Um not extremist in religion ila mambo ya kidunia ni heri yakawa ya kidunia bila kumhusisha Allah
Kwani Makanisani hawaimbi nyimbo za kumtukuza Mungu? Mimi nimemjibu kutokana na jinsi alivyoniita sikuweka mimi hizo nyimbo unazo sema za mapepo au unafikiriaje wewe ? Mkuu BAK kani Tag na mimi nimemjibu unachotakiwa umuulize yey aliye weka usichonganishe mimi na aliye niumba Mungu anajuwa zaidi kuliko ujuavyo wewe.Usiniharibie Mwaka 2013 ninataka kuumaliza kwa amani na upendo ninataka kusherehekea mwaka mpya 2014 kwa amani na upendo Mkuu Jerrymsigwa usini hukumu wewe sio Mungu. Nina log off.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol!!!! na hizo nazo nilikuwa nishatafuna hahahahah. Haya kila la heri na baraka wewe na familia katika sherehe za kuuaga 2013 na kuukaribisha 2014.
Ushukuru ulikua na wazazi wapole ungempata mzee wangu ungesoma number chezea zee la kisukuma weye . Nakutakia kila la kheri na wewe . Hivi pacha wangu Fixed Point yu wapi wajameni kila nkimtafuta simuoni au ndo ashaanza sherehe za kufunga mwaka. Kuna sherehe nimesikia itaadhimishwa kesho ya kuikana empty wallet sijui umeisikia nina wasi wasi pacha huenda yuko huko.
 
Last edited by a moderator:
"Moyo usio na shukrani hunyausha Baraka zote'

Nyimbo nzuri sana tunapoelekea kuumaliza 2013 na kuukaribisha 2014 tuombeane kwa umoja wetu MUNGU atuonyeshe 2014
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahaha lol!!!! Wote wa pole na dingi akiwa mbwii ndio wakati mzuri wa kumpiga bomu. Pacha wako yupo ila yuko busy kusema kweli na hizi sikukuu ndio kabisaaaa, niliongea naye jana yuko bomba kabisa. Ngoja nikutafutie nimwambie unamtafuta. Kuhusu hiyo sherehe wala sijaisikia. Ahsante sana Ablessed.

Ushukuru ulikua na wazazi wapole ungempata mzee wangu ungesoma number chezea zee la kisukuma weye . Nakutakia kila la kheri na wewe . Hivi pacha wangu Fixed Point yu wapi wajameni kila nkimtafuta simuoni au ndo ashaanza sherehe za kufunga mwaka. Kuna sherehe nimesikia itaadhimishwa kesho ya kuikana empty wallet sijui umeisikia nina wasi wasi pacha huenda yuko huko.
 
hahahahaha lol!!!! Wote wa pole na dingi akiwa mbwii ndio wakati mzuri wa kumpiga bomu. Pacha wako yupo ila yuko busy kusema kweli na hizi sikukuu ndio kabisaaaa, niliongea naye jana yuko bomba kabisa. Ngoja nikutafutie nimwambie unamtafuta. Kuhusu hiyo sherehe wala sijaisikia. Ahsate sana Ablessed.
Hahahahaha sasa umeisikia basi kuna sherehe ya kuaga empty wallet huko kitaa nafikiri wadaun wengi wa jeiefu watakua huko ikiwemo matumizi makubwa makubwa bila kufikiria mumivu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila la heri kwa wote watakaohudhuria sherehe hiyo. Mie nasubiri party la nguvu baadaye leo msosi wa nguvu, vinywaji vya kutosha na debe za uhakika ambazo zitamfanya kila mualikwa asitake kuondoka kwenye dancing floor.

Hahahahaha sasa umeisikia basi kuna sherehe ya kuaga empty wallet huko kitaa nafikiri wadaun wengi wa jeiefu watakua huko ikiwemo matumizi makubwa makubwa bila kufikiria mumivu.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom