Kwaheri 2012 karibu 2013

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,789
288,020
Last edited by a moderator:
262737_4154512667427_985229717_n.jpg
 
Bora mwaka huu umalizike tu maana kusema ukweli haukuwa mzuri kwangu hasa dakika hizi za majeruhi nimejeruhika vya kutosha.Namuomba Mungu anipe mafanikio,amani na afya njema kwangu na familia yangu na kwa waTanzania wote wapenda amani na maendeleo katika mwaka ujao wa 2013
 
Mie napenda kuwatakia Watanzania wote popote pale walipo duniani kila la heri, na baraka na mafanikio tele katika mwaka ujao wa 2013.
Yani kina Romney huwatakii kheri hapo.
 
Mdogo wako snowhite kakalia beseni saa hizi la maji baridi, shemeji yako hampi nafasi hata ya kupumua lol! anataka utamu kila dakika hahahaha lol! Teja LIMENUNA!!!

Asante sana rafiki, nawe pia....
wewe weka hivyo vibao sisi tunaserebuka tu huku......nani kanuna?
mlongo wangu snowhite njoo tuserebuke na rafiki BAK na wana JF wengine huku
 
Last edited by a moderator:
Mimi nawatakia kheri wote wale wenye kumpenda Mungu mmoja tu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
:)Nawatakia jf ,..members na wapitaji,

;)waanzisha nyuzi na wachangiaji,

:(watoa hoja na wachakachuaji,

:eek:makuruta na wajeda ktk mada,

:mad:watoa ban na wasababishaji,

:eek:wagumu na mikate ndani yachai,

:xvisiki woote na vibendera,

:*mashostito na mabestito,

:cool:wakubwa na wadogo,

:)old na new dudes,
yani woooooote kabisa...

Nawapenda sana coz kwa namna moja au nyingine nimejifunza kitu kutoka kwenu.

Niliowakosea mnisamehe sana,;(nami nimewasamehe.:D

BAK thanx for ze sredi...
Hmmmmuahhhh:*:*

;)Happy New yeaaarrrr 2013:D
 
Last edited by a moderator:
Mdogo wako snowhite kakalia beseni saa hizi la maji baridi, shemeji yako hampi nafasi hata ya kupumua lol! anataka utamu kila dakika hahahaha lol! Teja LIMENUNA!!!

ha haaaaaa, kwa raha zao rafiki
si wewe huwa unasemaga ukishikwa sikamana? ndo anashikamana hivyo, lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Ahsante sana Mkuu Ciello kwa maneno matamu sana. Heri ya mwaka mpya Mkuu.

Last edited by a moderator:
hahahaha lol! wameshikamana katika kuuaga 2012 na kuukaribisha 2013...waache wajirushe kwa raha zao.

ha haaaaaa, kwa raha zao rafiki
si wewe huwa unasemaga ukishikwa sikamana? ndo anashikamana hivyo, lol!
 
Last edited by a moderator:
Uzi huu ni maalum kwa wale wote wanaotoka katika nchi inayoitwa Tanzania wengine wote hauawahuu!!! Heri ya mwaka mpya Mkuu fazaa

Yani kina Romney huwatakii kheri hapo.
 
Last edited by a moderator:
hahahaha lol! wameshikamana katika kuuaga 2012 na kuukaribisha 2013...waache wajirushe kwa raha zao.

ha haaaaa, umegonga ikulu rafiki.......
nina uhakika watakuwa wanajirusha kihaswaaaaaaaaaaaa. kwa raha zao, lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Najua hicho kitu kinautesa sana moyo wako rafiki FP kwa kweli kimetulia sana nashindwa hata kuamua cha Wanigeria na Waethiopia kipi ni kikali zaidi..

cha wanigeria kimechangamka zaidi ya cha waethiopia (hii ni according to me rafiki)
nakizimikia sana tu rafiki
 
  • Thanks
Reactions: BAK
As the year comes to a close and we prepare to celebrate holidays with friends and family, please accept my best wishes and a happy new year.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom