Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Ngoja nigoogle 🙂🙂 ili kujua tangu lini udenda umewekwa katika kundi la natural resources 🙂🙂 ili nami niwe up to date kuhusiana na rasilimali hii ambayo farkhina hayupo tayari kuipoteza kirahisi rahisi.

Hahhahahahaha unajifanya hujui eeeh....basi bora nsikwambie nkakuza bure lol
 
Nashukuru mkuu excel...heri ya mwaka mpya nawe pia
 
Sayari itakayo tawala mwaka wa 2014 ni Mercury au Attwarid

Mercury-Attarid inahusika na mambo yanayohusiana na Adabu, Malezi mema, Mantiki, Kupata kitu, Fasihi ya lugha, Ufahamu, Uelewa, Elimu, Urafiki, Hila na kudanganya, Hesabu, Vitabu, Sanaa za aina zote, Ukatibu au Ukarani, Shule au Kumpeleka mtoto shule.

Vile vile inahusiana na mambo ya Nakshi, masuala ya Urembo, kuandaa majeshi, nidhamu na leo ni siku nzuri kuvaa nguo za hariri. Kwa ujumla ni Sayari ya mapato.
Katika utabiri mfupi wa mwaka ni kusema;
1. Tutarajie hali ya maisha kupanda.
2. Dola kupata nguvu dhidi ya sarafu kadha za duniani.
3. Vifo vya wasanii au watu mashuhuri kiserikalini.
4. Mwaka huu tunatarajia kupata ajali mbaya ya barabarani
5. Viongozi kuridhisha uongozi kwa wanao katika nchi za nje sababu ya ugonjwa.
6. Msururu wa mauwaji ya watu mbalimbali kuendelea.
7. Melewano ya mzozo wa S.Sudan yakitatuliwa na jumuia ya kimataifa.
8. Mzozo ndani ya Jubilee kuendelea.
9. Jubilee serikali ya Kenya kuanza utimizaji wa baadhi ya ahadi zake.

Mengine ntawaelezea kadri siku zinapoanza. Nawatakia mwaka mpya mwenye fanaka.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
😛oa😛oa😛oaYeah!!!! Always remember that you're responsible for your own happiness 🙂🙂



Hahahahahahaha raha jipe mwenyewe wee..
 
Last edited by a moderator:
😛oa😛oa😛oaYeah!!!! Always remember that you're responsible for your own happiness 🙂🙂




Maisha mafupi sana.....binaadam twatakiwa tuishi kwa furaha kusameheana na kusaidiana...
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Hahahahaha lol!!! zoezi lilikuwa la jana halafu ukafanya zzzzzzzz mapema sana nasikia saa tatu tu 🙂🙂leo ndio unataka kukesha lol!!!! leo unyaunyau n aje?🙂🙂 Haya cheza huu ukimaliza utakuwa ushaanza kusinzia.




Leo nakesha lol weka mziki nicheze mie....
 
Last edited by a moderator:
Hahahahaha lol!!! zoezi lilikuwa la jana halafu ukafanya zzzzzzzz mapema sana nasikia saa tatu tu 🙂🙂leo ndio unataka kukesha lol!!!! leo unyaunyau n aje?🙂🙂 Haya cheza huu ukimaliza utakuwa ushaanza kusinzia.




Nalala mda si mrefu najishaua tu sinaga ukeshaji...alafu wimbo naupenda huu...santee🙂🙂🙂🙂
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
ahsante dada.. japo umejiona mjaaaanja kula mwaka mwenyewe!! hahahaaa!!

jamani ujanja siku hizi hakuna, nilikuwa na familia yangu na kujichana na kusali nyumbani.
natumaini uli enjoy bila kujisahau...:smiling:
 
jamani ujanja siku hizi hakuna, nilikuwa na familia yangu na kujichana na kusali nyumbani.
natumaini uli enjoy bila kujisahau...:smiling:

sikujisahau bana nilijikumbuka!! haahahaa!! you maid me happy!

za wapi lakini mamii!?
 
1529731_443586665743594_1348138995_o.jpg



WISHNG TO EVERYBODY...!
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom