Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

hiyo ni coming year language mixture, yaani unamix kijapan na kimexico/spanish/latin america
hiyo ndo nshakuachia homework just google usipate shida
learn kijapan jingine ni ''chotta matte'' hili nalo la kijapan, jingine ntakupa badae

We mdada unamambo, "chotta matte" ndio huku uswailini tunasema "kula denda" sio?
 
hahahaha (mitaa ya kati..?) haya bwana.
Nataka nikuwish happy new year, ngoja nigoogle kupata maneno sahihi. JIM ilikuwaje lakini, haukunipa feedback!!!

It was awesome na ile siku ndio nilipiga mzigo kwa nguvu zote
nikijiwekea in mind someone is behind me watching what am doing
 
!
!
shukrani sana mkuu, nakutakia mwaka mpya wenye mafanikio pia

MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!
 
hebu soma kwanza signecha yako. uko off sight ya Kongosho, atakukumbukaje sasa kwa champagne?😛ray:

Hahahahahaaaa!
Jamani King'asti, uthiogope signature!!!!!!
...
Afu nawewe nimekumithi! Kama vipi panga mda tukajiponze na JB japo moja kwa kuaga mwaka 2013 jamani!!!!
 
Last edited by a moderator:
karibu sana mpendwa tumalizie masaa haya yaliyobaki...!

its not a day anymore..!! its just hours left!!!

Ni kweli Ni masaa tu na ikiwezekana baadhi ya masaa Tukayatumie kwenye nyumba za ibada...
 
  • Thanks
Reactions: BAK
MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!

Amen, nakumbuka nilivyokuwa narukia mibaraka pale kwa mama rwakatale, alikuwa anasema.

Kumaliza mwaka sio kazi ndogo, kuna wengine sasa wako mahospitali hawana uhakika wa kumaliza mwaka, na wengi sana wameishia katikati, hivyo inabidi tukemee roho zote za kukatisha maisha ya watoto wa mungu, kama wewe unahofu ya kumaliza mwaka huu (hapo zimebaki kama nusu saa tutinge mwaka mwingine) pokea muujiza wako uuvuke mwaka.

watu tunarukia mibaraka, ameeeeen.

Haya Excel
na wewe rukia, pokea mibaraka yako katika jina la bwana.
 
Pokea Hii Heaven on Earth n all....JF's
​
2py3v43.jpg
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
which Option !!!!!!

Pursue legal measures!! and this is the fair option or else I may seek court order to summon all JIM's in dar to subject their clients to Brain Scanning until someone with visions involving Sangarara watching her doing dangerous curves is found and presented to the court for denying Sangarara access to his personal details.
 
hahahaa u made me laugh out loudly Sangarara.....am I chatting with the Lawyer here!!!!!!
I only know business and am in big doubt that If you will open legal charges against meI will loose
..The curves aren't dangerous join me sometimes and you will see how things are!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I didn't deny ur presence I just cant explain it the way I want to
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom