Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Mie simkaribishi hadi alike nkale nyama ugari sio ugari nyama...tena naweka toothpick kwenye handbag kabisaa...
ha haaa, nani anataka kujaza tumbo? lol!
jana nimekula nyama sehemu nikafuraaahi na roho yangu, ilikuwa tamu balaa...
rafiki, mimi huwa kwenye handbag kuna pakiti la toothpicks, sitaki shida
 
Basi zoezi limeenda vizuri kabisa hooray!!!!! farkhina kesho ataona mwaka mpya hahahahaha lol!!!! Usilale banaaaaa fanya kila uwezalo uwe macho.

Hahahahahahahha ungejua nnavosinzia apa wala usingesema....najikaza tu ndio nafanya mazoezi kama kesho ntaweza kuona mwaka 2013-2014 nkiwa macho nashuhudia.....lol
 
Last edited by a moderator:
Alafu ulivombishi yaani huwezi kukosa kwenda.... Fixed Point siku hiyo ntapika mie nitie chakula mapilipili tumkomoe🙄🙄🙄
ha haaa, jana nimepika mamgo pickle.....
nikapika sufuria 2, moja nikatoa mkwala kuwa nikiona mtu kagusa hiyo moto utawaka, ya watoto wadogo. ya kwetu nimeweka mapilipili kibao, ukiweka kidogo watu ndo wanaifanya mboga badala ya chachandu, wiki moja tu container nzima imeisha. nimewakomeshaje!
 
Basi zoezi limeenda vizuri kabisa hooray!!!!! farkhina kesho ataona mwaka mpya hahahahaha lol!!!! Usilale banaaaaa fanya kila uwezalo uwe macho.

Subutu....siwezi mie nalala mapema kama kuku saa moja nshalala zamani

Basi zenji si kunakuwa na zile fashfashi sijui zinaitwaje zinopigwa juu kila usiku wa tareh 11 jan kuamkia tarehe 12 ndio mapinduzi....basi kuzisubiria siwezi hujilalia weee ikifika mda huo naamshwa nkaone hizo shamrashamra ila siku nyengine siamki ng'o...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahha ungejua nnavosinzia apa wala usingesema....najikaza tu ndio nafanya mazoezi kama kesho ntaweza kuona mwaka 2013-2014 nkiwa macho nashuhudia.....lol
ha haaa, siku hizi nina katabia ka kulala saa 1 usiku, yaani hiyo kuaga na kukaribisha mwaka sijui nitaweza! otherwise itabidi nilale jioni ili usiku niwe macho
 
  • Thanks
Reactions: BAK
nimeskia wivu hujanitaja......

Katika sherehe za kuuaga mwaka wa 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 mjirushe kwa raha zenu, kwa wale ambao mtakuwa mnaendesha basi mnywe kilevi aste aste ili muweze kwenda na kurudi salama salmini. Nawatakia heri na baraka katika mwaka mpya wa 2014. Jisikie huru kuweka nyimbo yoyote uipendayo hapa. Fixed Point, Sikonge BelindaJacob, MziziMkavu, farkhina na wengineo wote come this way please!!

Last edited by a moderator:
hahahahahahah lol!!!! Haya banaaaa siku yako ya kujidai leo wacha tu nikuache uuage 2013 na kuukaribisha 2014 vizuri. Usije ukaanza kuangusha debe la machozi bure lol!!!! leo si siku nzuri ya kulia 🙂🙂
ha haaa, siku hizi nimekua, siliilii ovyo.......
unipongeze na wewe kuwa siku hizi nimekuwa mkubwa, lol!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhhh!!!! 🙂🙂🙂

ha haaa, siku hizi nina katabia ka kulala saa 1 usiku, yaani hiyo kuaga na kukaribisha mwaka sijui nitaweza! otherwise itabidi nilale jioni ili usiku niwe macho
 
ha haaa, nani anataka kujaza tumbo? lol!
jana nimekula nyama sehemu nikafuraaahi na roho yangu, ilikuwa tamu balaa...
rafiki, mimi huwa kwenye handbag kuna pakiti la toothpicks, sitaki shida

Hahahahahah kujaza tumbo tena wengine tuna vitambi na mazoezi hatutaki kufanya kuviondosha....kitambi kama kipipa lol

Ntaka kuanza diet ya nguvu...
 
Hahahahahah kujaza tumbo tena wengine tuna vitambi na mazoezi hatutaki kufanya kuviondosha....kitambi kama kipipa lol

Ntaka kuanza diet ya nguvu...
ha haaa, nyumbani kwangu kitambi kimepigwa marufuku.......
ukitoka kujifungua tu, kitu cha kwanza kukumbushwa ni kushughulikia kitambi, kaazi kweli
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hahahahahah lol!!!! mie sitii neno :tape2::tape2::tape2:....By the way congrats kwa kuacha kulialia hovyo 🙂🙂

ha haaa, siku hizi nimekua, siliilii ovyo.......
unipongeze na wewe kuwa siku hizi nimekuwa mkubwa, lol!
 
Mchele mchele na mazaga zaga mengine kibao sijui raba mtoni khaaa....Sie pia gari ilikuwepo ila mnaomba Dingi asiwe na safari zake vinginevyo ndio kuanza kutafuta usafiri lakini ulikuwa haukosekani maana mtaani ilitokea bahati watu wa rika moja tulikuwa tele basi ni kiasi cha kuambiana tu leo tunazuka wapi na usafiri wa uhakika uliandaliwa. Mie viwanja pia nilikuwa navipenda ila vingine vilikuwa havikongi kiu yangu ya muziki kuliko hiki kiwanja kimoja ambacho nikitoka pale nafurahia leo nimejirusha kwa raha zangu. Halafu hiki kiwanja wadada walikuwa hawakipendi sana wakidai wahuni wengi na vyangu doa pia, lakini muziki wake kama umefuata muziki tu ulikuwa bomba sana basi mie na wenzangu wawili tuliweza kuwashawishi wadada mpaka wakakubali kile kiwanja ndio pakawa HQ yetu ya kujirusha.

Nice one maana bila wadada miziki haishuki ati. Eeeh raba mtoni acha tu esp mashuleni ndio palikuwa pa kuonyeshea aaaagh.
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom