hayo macongrats ndo nilikuwa nayasubiri kwa hamu....hahahahahah lol!!!! mie sitii neno :tape2::tape2::tape2:....By the way congrats kwa kuacha kulialia hovyo 🙂🙂
anza my dear.....Mmmh mwenzangu wee nianze kupiga push-up.....
ha haaa, nyumbani kwangu kitambi kimepigwa marufuku.......
ukitoka kujifungua tu, kitu cha kwanza kukumbushwa ni kushughulikia kitambi, kaazi kweli
Umenikumbusha mbali. Mambo yanaenda yakibadilika. Nakumbuka ezi hizo karibia na maeneo ya Bilcanas kuna "wamachinga" fulani walikuwa wanauza bia kwenye maboksi.
Kabla ya kuingia Bilcanas, watu tulikuwa tunapitia pale, tunapiga za kutosha. Baada ya hapo tunaingia Bilcanas tukiwa ndwiiii! Humo ndani mtu hanunui hata soda. Ni kujirusha tuu mpaka salaleeee.
Halafu enzi hizo madenti wa chuo kikuu ndiyo walikuwa na pesa ya kutesea. Enzi hizo ilikuwa inaitwa "Ngororo" (RIP Katibu wa wizara ya Elimu ya Juu wa enzi hizo Abdallah Ngororo) na siyo "Bumu" kama inavyoitwa siku hizi.
Enzi hizo mdada wa kitaa akikushtukia tuu kuwa wewe ni denti wa Mlimani au Muhimbili ilibidi kuwa mwangalifu nae maana unaweza kuliwa ngororo yote.
Siku hizi mambo yamebadilika, unawezakuta yanki hata kazi yake hajulikani hapa mujini lakini anakompiti na chief executive wa kampuni kubwa VIP au kwenye stuli ndefu, thanks to free trade ambapo sana mtu yoyote anaweza kufanya biashara yoyote atakayo bila zengwe.
Chezea kuwa Down With O.P.M" aka Other Peoples Money for the sake of OPP. Heri ya mwaka mpya.
[video=youtube_share;uFTBG1sae0M]http://youtu.be/uFTBG1sae0M[/video]
Aaaaaggh, kwa hiyo mnakunywa pale nje hadi mlewe mkiingia ni ku buggie hadi mwisho sio. Aaagghh
Ila nimefurahi kujua totos za kike ziliwapelekesha labda na mie ningekuwaga mmoja wapo ...lol
karibu member mpya!
naona umeamua kujivua gamba 2014 kuingia na gwanda, lol!
Mmmmmh.....utajwe wapi wakati ndio kwanza leo unavuka kizingiti kuingia humu ndani? Au ulifikiri BAK ni magician eeeh?
Nna mpango wa kutoa show ya mwaka jikoni kwangu leo. farkhina na Jerrymsigwa, kama mna suggestions zozote wakati ni huu. Ntatumia ujuzi wa farkhina woote hadi mwisho lol:decision:
Ubarikiwe sana mpendwa ukipata mtu anayekuombea mema maishani inatia faraja sana,Mungu akuongoze mwaka ujao akuepushe na mabaya ya dunia zaid ya yote akufanikishe katika mipango yako katika jinaa la Baba, la Mwana na la Roho Mtakatifu Amen....MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,
wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,
ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,.. mmh! na wengineo wooote!!!!!