Kwaheri 2013 karibu sana 2014

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,462
2,000
Katika sherehe za kuuaga mwaka wa 2013 na kuukaribisha mwaka mpya wa 2014 mjirushe kwa raha zenu, kwa wale ambao mtakuwa mnaendesha basi mnywe kilevi aste aste ili muweze kwenda na kurudi salama salmini. Nawatakia heri na baraka katika mwaka mpya wa 2014. Jisikie huru kuweka nyimbo yoyote uipendayo hapa. Fixed Point, Sikonge BelindaJacob, MziziMkavu, farkhina na wengineo wote come this way please!!

 
Last edited by a moderator:

mzurimie

JF-Expert Member
Oct 16, 2011
6,145
2,000
kwa #2 na #3 umenikumbushia maisha ambayo kamwe sitasahau, nakumbuka enzi no majukumu just kusoma na kula bata kwa pocket money. kuomba extra ikiitajika.

Mungu awe nasi tunapoingia mwaka mpya, maana enzi hizo nakumbuka nilikuwa sikai kufikiria eti kunywa na kuendesha watu tulisepa tu.

Namshukuru Mungu kwa familia yangu now najua majukumu.

Kesho mie ndani, nitasali na live service kwa tv.

Nakutakia mwaka mpya mwema.

n.b. mimbo hiyo imetaka kuniliza
 

Luv

JF-Expert Member
Aug 29, 2013
1,791
2,000
Nawe pia heri ya mwaka mpya na uwe mwaka wa furaha, amani, afya njema, mafanikio na Mungu akuongoze.
 

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
105,462
2,000
Utoto raha banaaa asikwambie mtu, huwa tukakumbushana na siblings enzi za utoto huwa tunacheka sanaaa lol! Mie siku nyingine pocket money ya week yote nilikuwa nimeshatafuna. Ikifika Ijumaa dingi na maza walikuwa wanaweza kunisoma kwamba sina kitu basi wataniuliza vipi leo muziki wapi, basi najibu sina kitu leo basi mmoja ataingia ndani na kurudi na vijsenti vya kuweza kujirusha kwa raha zangu kuanzia Ijumaa hadi Jumapili. Sala muhimu kumshukuru Muumba wetu na kumuomba yaliyo mema na baraka katika mwaka a 2014. Kila la heri na Baraka.

kwa #2 na #3 umenikumbushia maisha ambayo kamwe sitasahau, nakumbuka enzi no majukumu just kusoma na kula bata kwa pocket money. kuomba extra ikiitajika.

Mungu awe nasi tunapoingia mwaka mpya, maana enzi hizo nakumbuka nilikuwa sikai kufikiria eti kunywa na kuendesha watu tulisepa tu.

Namshukuru Mungu kwa familia yangu now najua majukumu.

Kesho mie ndani, nitasali na live service kwa tv.

Nakutakia mwaka mpya mwema.

n.b. mimbo hiyo imetaka kuniliza
 

farkhina

Platinum Member
Mar 14, 2012
14,759
2,000
Shukraan BAK...ila sijajua nasherehekeaje lol.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom