Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Shukran BAK,
Heri ya mwaka mpya na kwako pia
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
hebu soma kwanza signecha yako. uko off sight ya Kongosho, atakukumbukaje sasa kwa champagne?😛ray:
Hahahahahahaaa!
Nawewe heri na baraka ya mwaka mupya iye nawe (with ur family)
...
1 Nimekumithi!
2 uthinikothe wakati wa kunywa shampen!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa salamau ya mwaka mpya nakutakia nawe heri na fanaka. Nililalama mwanzoni kwa BAK hajanitaja sas nimetajwa mara mbili looh senkyu vere mache
Keep on excelling Excel for the whole year 2014

MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!
 
viatu vya paw ni vikubwa mnoooo, haviwezi kukutosha kamwe. wala usijisumbue aisee. miaka laki nane havitakaa vikutoshe. paw anabembeleza na a husky voice, google that

Hayo ya The Boss usinihusishe ukaniponza moyo wangu. ngoja nidisable avatar kwanza, moyo haugawanywi
achana na Paw wewe!! mtu mwenyewe hajui hata kubembeleza!! sauti mikwaruuuzo kama nini!

yeye kidogo tu kakupiga ban!

mimi walah! hio mambo sina! ntakulisha, ntakuogesha na stage mpya ntakununulia!


The Boss ndio nani? eenh? hebu mwambie aje ajitambulishe bana!

na aje pole pole atiii, anaweza rudi mzobemzobe!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Ni kwa neema yake na huruma yake ndo maana tuko hai mpaka sasa na si ujanja wala uzoefu wetu,ni jambo la kumshukuru Mungu kwamba masaa machache yamesalia ili kuanza mwaka 2014 tuendelee kumuomba ili atufikishe salama.Kama kuna mahali ulikwazana na mtu ni muda mzuri wa kusameheana na kufuta yote ili kuanza vyema mwaka tena kwa furaha,heri ya mwaka mpya kwenu nyote
 
  • Thanks
Reactions: BAK
viatu vya paw ni vikubwa mnoooo, haviwezi kukutosha kamwe. wala usijisumbue aisee. miaka laki nane havitakaa vikutoshe. paw anabembeleza na a husky voice, google that

Hayo ya The Boss usinihusishe ukaniponza moyo wangu. ngoja nidisable avatar kwanza, moyo haugawanywi

mama badilisha technolojia bana!

we kila leo simu ya tochi tuuuuu!

jaribu iphone 5, kama tochi utaiona humo tena na disco lights,!

sasa huyu Paw kila leo swagger zile zile za miaka ya 47!

badala ya kukutakia heri ya mwaka mpya 2014, anasema happy new year 1947.. khaa!! badilisha bana!

bado nasisitiza kutokuujua uwepo wa The Boss!.. ntarudi kutetea hoja!
 
Last edited by a moderator:
Asante kwa salamau ya mwaka mpya nakutakia nawe heri na fanaka. Nililalama mwanzoni kwa BAK hajanitaja sas nimetajwa mara mbili looh senkyu vere mache
Keep on excelling Excel for the whole year 2014

ahsante sana Kasinde... nimebarikiwa sana na signature yako pia!

i will keep on excelling mpaka waseme... haaaa, whaaat?!!! i dont believe it!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Amigo ni neno la kilatin america maana yake rafiki
Sayonara ni neno la kijapan hilo nakuachia home work litafute

sasa mchanganyiko huo ndio unaitwaje, mi naufahamu mmoja unaitwa kiswanglish? Alafu bora ungeniachia amigo ukanitatafthilia hiyo ingene. sikubari.
 
Thank u BAK,nikutakie kila la kheri 2014.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
sasa mchanganyiko huo ndio unaitwaje, mi naufahamu mmoja unaitwa kiswanglish? Alafu bora ungeniachia amigo ukanitatafthilia hiyo ingene. sikubari.

hiyo ni coming year language mixture, yaani unamix kijapan na kimexico/spanish/latin america
hiyo ndo nshakuachia homework just google usipate shida
learn kijapan jingine ni ''chotta matte'' hili nalo la kijapan, jingine ntakupa badae
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom