Naomba mnisamehe kama na mimi nilivyowasamehe walionikosea 2013, HERI YA MWAKA MPYA 2014

Chris Lukosi

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
4,581
2,937
Ndugu zanguni,

Sasa mwaka 2013 ndio unakatika na ni masaa machache tu kabla hatujaingia mwaka mpya 2014

Ningependa kutumia fursa hii kuwashukuru wale wote walionisapoti mwaka huu 2013 bila kusahau wagonga like na wale walioniwezesha kulitumia jukwaa hili kutoa maoni yangu.

Nawashukuru sana bodi nzima ya Jamii forums kwa kutuwezesha sisi watanzania wadogo kwa wakubwa, walio ndani na walio nje, chadema kwa ccm na wengineo kuweza kupata fursa ya kutoa maoni yao juu ya siasa za nchi yetu. Mungu awabariki na kuwaongezea busara za kuzuia machafuko na mupate uwezo wa kujua na kufuta thread yoyote itakayoleta madhara kwa jamii kwani sasa JF ni kubwa mno na ninaamini hata viongozi wetu hutembelea sana hapa.

Pia nawaomba wale wote niliowakwaza kutokana na coments zangu hapa jukwaani kwani najua kabisa kuwa coments zangu zinaweza kuwa nzuri kwa kambi yangu lakini zikawa mwiba mchungu upande wa pili. Naomba mnisamehe kwani bila kuelezana ukweli hatutafika.

Mimi pia nawasamehe wale wote hata walioniita mwizi wa rambi rambi nilizotoa mfukoni mwangu kujazia kidogo walichotoa akina chadema UK.

Baada ya hayo yote naomba niwatakie heri ya mwaka mpya 2014.

Namuomba Mwenyezi Mungu alijalie taifa letu amani kipindi hiki kijacho ambapo tutakuwa tunaingia kwenye katiba mpya

Namuomba Mwenyezi Mungu amzidishie hekima Rais wetu na bunge la katiba waweze kutuletea katiba itakayomnufaisha kila mwananchi bila kubagua Chama au dini.

Namshukuru sana Rais wetu kwa kutuletea katiba mpya

Ndugu zanguni, pia nningeomba viongozi wengine wa kisiasa waige mfano wa waheshimiwa Anna Tibaijuka, Mmwigulu Nchebma, Dr Wilbroad Slaa , Zitto Kabwe , Hamis Kigwangala na wengineo kwa kuamua kujumuika nasi kwenye jukwaa la siasa kuchangia hoja na kubadilishana mawazo kwani naamini kuwa hapa pamoja na kuwa kuna mbulumundu wengi lakini pia kumejaa great thinkers ambao mawazo yao yakisikilizwa yanaweza kusaidia katika kurekebisha pale panapopwaya nchini

MUNGU AWABARIKI WOTE

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU TUEPUSHE NA MACHAFUKO NA UENDELEE KUTUJALIA UWEZO WA KUVUMBUA RASILIMALI ZAETU KAMA MAFUTA NK 2014

ASANTENI.

Chris Lukosi.... kalenga - Iringa
 
Nawashukuru sana bodi nzima ya Jamii forums kwa kutuwezesha sisi watanzania wadogo kwa wakubwa, walio ndani na walio nje, chadema kwa ccm na wengineo kuweza kupata fursa ya kutoa maoni yao juu ya siasa za nchi yetu. Mungu awabariki na kuwaongezea busara za kuzuia machafuko na mupate uwezo wa kujua thread yoyote itakayoleta madhara kwa jamii kwani sasa JF ni kubwa mno na ninaamini hata viongozi wetu hutembelea sana hapa.

Pia nawaomba wale wote niliowakwaza kutokana na coments zangu hapa jukwaani kwani najua kabisa kuwa coments zangu zinaweza kuwa nzuri kwa kambi yangu lakini zikawa mwiba mchungu upande wa pili. Naomba mnisamehe kwani bila kuelezana ukweli hatutafika.

Mimi pia nawasamehe wale wote hata walioniita mwizi wa rambi rambi nilizotoa mfukoni mwangu kujazia kidogo walichotoa akina chadema UK.

Baada ya hayo yote naomba niwatakie heri ya mwaka mpya 2014.

Namuomba Mwenyezi Mungu alijalie taifa letu amani kipindi hiki kijacho ambapo tutakuwa tunaingia kwenye katiba mpya

Namuomba Mwenyezi Mungu amzidishie hekima rais wetu na bunge la katiba waweze kutuletea katiba itakayomnufaisha kila mwananchi bila kubagua Chama au dini

Ndugu zanguni, pia nningeomba viongozi wengine wa kisiasa waige mfano wa mheshimiwa Anna Tibaijuka, Mmwigulu Nchema, Dr Wilbroad Slaa , Zitto Kabwe , Hamis Kigwangala na wengineo kwa kuamua kujumuika nasi kwenye jukwaa la siasa kuchangia hoja na kubadilishana mawazo kwani naamini kuwa hapa pamoja na kuwa kuna mbulumundu wengi lakini pia kumejaa graet thinkers ambao mawazo yao yakisikilizwa yanaweza kusaidia katika kurekebisha pale panapopwaya nchini

MUNGU AWABARIKI WOTE

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU TUEPUSHE NA MACHAFUKO NA UENDELEE KUTUJALIA UWEZO WA KUVUMBUA RASILIMALI ZAETU KAMA MAFUTA NK

ASANTENI.

Chris Lukosi.... kalenga - Iringa
Chris Lukosi hakuna mwema hapa Duniani, ila usameheana ni jambo la maana sana, pengine hujui nani umemkosea...Heri ya mwaka mpya pia
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zanguni,

Pia nawaomba wale wote niliowakwaza kutokana na coments zangu hapa jukwaani kwani najua kabisa kuwa coments zangu zinaweza kuwa nzuri kwa kambi yangu lakini zikawa mwiba mchungu upande wa pili. Naomba mnisamehe kwani bila kuelezana ukweli hatutafika.

Mimi pia nawasamehe wale wote hata walioniita mwizi wa rambi rambi nilizotoa mfukoni mwangu kujazia kidogo walichotoa akina chadema UK.

Quotation-Shelley-K-Wall-shame-mistakes-Meetville-Quotes-153156.jpg
 
Ndugu zanguni,

Sasa mwaka 2013 ndio unakatika na ni masaa machache tu kabla hatujaingia mwaka mpya 2014

Ningependa kutumia fursa hii kuwashukuru wale wote walionisapoti mwaka huu 2013 bila kusahau wagonga like na wale walioniwezesha kulitumia jukwaa hili kutoa maoni yangu.

Nawashukuru sana bodi nzima ya Jamii forums kwa kutuwezesha sisi watanzania wadogo kwa wakubwa, walio ndani na walio nje, chadema kwa ccm na wengineo kuweza kupata fursa ya kutoa maoni yao juu ya siasa za nchi yetu. Mungu awabariki na kuwaongezea busara za kuzuia machafuko na mupate uwezo wa kujua na kufuta thread yoyote itakayoleta madhara kwa jamii kwani sasa JF ni kubwa mno na ninaamini hata viongozi wetu hutembelea sana hapa.

Pia nawaomba wale wote niliowakwaza kutokana na coments zangu hapa jukwaani kwani najua kabisa kuwa coments zangu zinaweza kuwa nzuri kwa kambi yangu lakini zikawa mwiba mchungu upande wa pili. Naomba mnisamehe kwani bila kuelezana ukweli hatutafika.

Mimi pia nawasamehe wale wote hata walioniita mwizi wa rambi rambi nilizotoa mfukoni mwangu kujazia kidogo walichotoa akina chadema UK.

Baada ya hayo yote naomba niwatakie heri ya mwaka mpya 2014.

Namuomba Mwenyezi Mungu alijalie taifa letu amani kipindi hiki kijacho ambapo tutakuwa tunaingia kwenye katiba mpya

Namuomba Mwenyezi Mungu amzidishie hekima Rais wetu na bunge la katiba waweze kutuletea katiba itakayomnufaisha kila mwananchi bila kubagua Chama au dini.

Namshukuru sana Rais wetu kwa kutuletea katiba mpya

Ndugu zanguni, pia nningeomba viongozi wengine wa kisiasa waige mfano wa waheshimiwa Anna Tibaijuka, Mmwigulu Nchebma, Dr Wilbroad Slaa , Zitto Kabwe , Hamis Kigwangala na wengineo kwa kuamua kujumuika nasi kwenye jukwaa la siasa kuchangia hoja na kubadilishana mawazo kwani naamini kuwa hapa pamoja na kuwa kuna mbulumundu wengi lakini pia kumejaa great thinkers ambao mawazo yao yakisikilizwa yanaweza kusaidia katika kurekebisha pale panapopwaya nchini

MUNGU AWABARIKI WOTE

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU TUEPUSHE NA MACHAFUKO NA UENDELEE KUTUJALIA UWEZO WA KUVUMBUA RASILIMALI ZAETU KAMA MAFUTA NK 2014

ASANTENI.

Chris Lukosi.... kalenga - Iringa

Her ya mwaka mpya kwako na wana JF wote. Mwaka mpya uwe na amani na upendo.
 
Sidhani kama michango yako uwafurahisha kambi yako pia. Tutakine tu heri ya mwaka mpya 2014 vinginevyo una-bore.
 
Sawa mkuu umesomeka mimi ni mmoja wapo wa watu niliokuwa naona post yako nakerwa! ni ubinadamu tusameeane. Mwaka mpya mwema Mungu atupe nguvu ya kubeba tani za maboksi.
 
Yaani unaakili sn, tofauti na hp tungeonesha 2014 njia ya kupita na kina MN na Nape. Poa Heri ya mwaka nawe na jf wote.
 
Rudisha rambirambi za mjane Bi Itika Mwangosi kwanza ndio usamehewe. Vinginevyo hii dhambi itakutafuna hadi kaburini.

Na kama una ndoto za cheo cha kisiasa ndio usahau kabisa.

Kashifa ya ;
1. Rambi rambi ya mjane wa Mwangosi

2. kubeba mabox ya madawa ya kulevya huku ukilala sebuleni kwa watu zitakumaliza mapema sana kabla hata mchakato haujafikia patamu.
 
Sawa mkuu umesomeka mimi ni mmoja wapo wa watu niliokuwa naona post yako nakerwa! ni ubinadamu tusameeane. Mwaka mpya mwema Mungu atupe nguvu ya kubeba tani za maboksi.
Boxi linalipa mkuu ndio maana unaona nina kitambi
 
Mkuu,

huyu jamaa kwanza anatakiwa arudishe kwanza rambirambi za mjane wa marehemu Mwangosi aliye uwawa kikatili

chini ya Usimamizi wa Michael Kamuhanda aliyepongezwa Bungeni na Lukuvi na siku 37 baada ya kupongezwa na kutetewa

na Lukuvi kwa kazi aliyofanya/ anazofanya akapandishwa cheo na kuhamishiwa makamo Makuu,

NB: Nanyoro Kicheere amewahi uliza kwa njia ya makala Kuwa , makao Makuu ya jeshi la Police ni sehemu ya wahalifu?
Bado hajajibiwa hadi sasa.
 
Rudisha rambirambi za mjane Bi Itika Mwangosi kwanza ndio usamehewe. Vinginevyo hii dhambi itakutafuna hadi kaburini.

Na kama una ndoto za cheo cha kisiasa ndio usahau kabisa.

Kashifa ya ;
1. Rambi rambi ya mjane wa Mwangosi

2. kubeba mabox ya madawa ya kulevya huku ukilala sebuleni kwa watu zitakumaliza mapema sana kabla hata mchakato haujafikia patamu.
Wewe nimeisha kusamehe kabla hata hujanitukana
 
Haya bhana ingali umeniudhi sana......lakini haya yote ni kwenye hali ya kibinadamu tu!

Uwe na wakati mzuri popote pale ulipo Chris Lukosi

Karibu A town nyumbani kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana ingali umeniudhi sana......lakini haya yote ni kwenye hali ya kibinadamu tu!

Uwe na wakati mzuri popote pale ulipo Chris Lukosi

Karibu A town nyumbani kwangu!
Mkuu mbona nilikuwa Arusha mwezi uliopita?

Nashukuru kwa kunisamehe ila mimi bado naichukia avatar yako .. LOL
 
Ndugu zanguni,

Sasa mwaka 2013 ndio unakatika na ni masaa machache tu kabla hatujaingia mwaka mpya 2014

Ningependa kutumia fursa hii kuwashukuru wale wote walionisapoti mwaka huu 2013 bila kusahau wagonga like na wale walioniwezesha kulitumia jukwaa hili kutoa maoni yangu.

Nawashukuru sana bodi nzima ya Jamii forums kwa kutuwezesha sisi watanzania wadogo kwa wakubwa, walio ndani na walio nje, chadema kwa ccm na wengineo kuweza kupata fursa ya kutoa maoni yao juu ya siasa za nchi yetu. Mungu awabariki na kuwaongezea busara za kuzuia machafuko na mupate uwezo wa kujua na kufuta thread yoyote itakayoleta madhara kwa jamii kwani sasa JF ni kubwa mno na ninaamini hata viongozi wetu hutembelea sana hapa.

Pia nawaomba wale wote niliowakwaza kutokana na coments zangu hapa jukwaani kwani najua kabisa kuwa coments zangu zinaweza kuwa nzuri kwa kambi yangu lakini zikawa mwiba mchungu upande wa pili. Naomba mnisamehe kwani bila kuelezana ukweli hatutafika.

Mimi pia nawasamehe wale wote hata walioniita mwizi wa rambi rambi nilizotoa mfukoni mwangu kujazia kidogo walichotoa akina chadema UK.

Baada ya hayo yote naomba niwatakie heri ya mwaka mpya 2014.

Namuomba Mwenyezi Mungu alijalie taifa letu amani kipindi hiki kijacho ambapo tutakuwa tunaingia kwenye katiba mpya

Namuomba Mwenyezi Mungu amzidishie hekima Rais wetu na bunge la katiba waweze kutuletea katiba itakayomnufaisha kila mwananchi bila kubagua Chama au dini.

Namshukuru sana Rais wetu kwa kutuletea katiba mpya

Ndugu zanguni, pia nningeomba viongozi wengine wa kisiasa waige mfano wa waheshimiwa Anna Tibaijuka, Mmwigulu Nchebma, Dr Wilbroad Slaa , Zitto Kabwe , Hamis Kigwangala na wengineo kwa kuamua kujumuika nasi kwenye jukwaa la siasa kuchangia hoja na kubadilishana mawazo kwani naamini kuwa hapa pamoja na kuwa kuna mbulumundu wengi lakini pia kumejaa great thinkers ambao mawazo yao yakisikilizwa yanaweza kusaidia katika kurekebisha pale panapopwaya nchini

MUNGU AWABARIKI WOTE

MUNGU IBARIKI TANZANIA

MUNGU TUEPUSHE NA MACHAFUKO NA UENDELEE KUTUJALIA UWEZO WA KUVUMBUA RASILIMALI ZAETU KAMA MAFUTA NK 2014

ASANTENI.

Chris Lukosi.... kalenga - Iringa

MIE MGENI,,,,LAKINI maandiko yanasema AMELAANIWA amdhulumuye mjane ,,
 
Back
Top Bottom