Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Khaaaaaa!!!!!!!!!!!!
Hivi hujui kuwa serikali siku hizi inaukubali uchawi?

Huu ni ushahidi tosha wa kukutia hatiani
Hata uwe na wakili kama Tundu Lissu lazima ile kwako tu....!!!!!!!!!!
Wala sijasema anapigwa zongo.
atasomewa dua 'njema' tu baaas, kisha mambo yanajisogeza yenyewe kutoka better to not better.

Wala sijasema anapigwa zongo.
atasomewa dua 'njema' tu baaas, kisha mambo yanajisogeza yenyewe kutoka better to not better.

And why should he need to ask JF Doctor for assistance?
 
  • Thanks
Reactions: Paw
Daah aisee una moyo mkubwa weye hehehehe

Ile kitu ya mtu kwenda maliwato kufanya PEE, wanatoa dagaa tena kwa rivas siyo story ujue.

Just DARE more kisha next step unahamia JF Dokta kusaka solution ya kitakachojiri.

badilika Paw bana!

hivi huoni kabisa huu mwaka si wako! nadhani King'asti desrves a man to man of excellency..!

not just because you wear a trouser! iam serious... if you cant go peacefully..

i will take my hooks, crooks and anchors!

sasa chukua virago fasta!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Paw
Amen, nakumbuka nilivyokuwa narukia mibaraka pale kwa mama rwakatale, alikuwa anasema.

Kumaliza mwaka sio kazi ndogo, kuna wengine sasa wako mahospitali hawana uhakika wa kumaliza mwaka, na wengi sana wameishia katikati, hivyo inabidi tukemee roho zote za kukatisha maisha ya watoto wa mungu, kama wewe unahofu ya kumaliza mwaka huu (hapo zimebaki kama nusu saa tutinge mwaka mwingine) pokea muujiza wako uuvuke mwaka.

watu tunarukia mibaraka, ameeeeen.

Haya Excel
na wewe rukia, pokea mibaraka yako katika jina la bwana.

mibaraka imekuwa delivered! thanks! thanks! thanks!
 
Ahsante sana Ablessed, pole kwa kimeo chako kuugua. I hope sasa kimepata ahueni.

BAK nakushukuru sana kwa kuniitia twin wangu hakika wewe ni rafiki na kaka wa kweli. Unajua tena kimeo changu kiliingia virus hivyo nililazimika kutoka bila kuaga.
 
Last edited by a moderator:
Mhhhhh! Hahahahaha lol!!!! Weye ujasirimali umeanza siku nyingi sana Mkuu dah!!!! Nimecheka sana hiyo idea ya kubeba magazeti ya dingi kwenda kuyauza ili kupata mkwanja wa kujirusha mtaani lol!!!! Sasa ndio hapo dingi aulize gazeti la tarehe Fulani liko wapi kuna article nataka kuisoma basi imekula kwako. Kesho Mkuu 3 points kibindoni katika kuendeleza kampeni yetu ya kuukwaa ubingwa msimu huu. Kila la heri na Baraka katika mwaka mpya wa 2014.

Mkuu BAK, kula tano.

Unafahamu kitu kimoja, yees old skool umenikumbusha mbali sana masuala ya Casanova.

Unafahamu miaka ile kati ya 80s na 90s muziki ulikuwa ni wa nje tu, kila ukiingia nyumba za walokuwa na uwezo, seti za televisheni zao zilikuwa zikipiga miziki tu ni miziki kwa sana.

Vikao kwenye magogo vya washikaji, mechi za mpira pale Gymkhana, Muhimbili au Oysterbay (pale kwenye kamzunguko kelekea shuleni) na stories za ngumi za hapa na pale kugombania totos kati ya washikaji enzi zile akina Kinje ( huyu kaanza ukorofi miaka mingi) Idi Janguo na vijana wengine wenzetu wengi tu.

Saramanda pale makutano ya Mansfield na Mkwepu pamoja na Snow Cream, pia umenikumbusha enzi zangu za kuhakikisha magazeti yote ya mzee wangu (Mungu amrehemu huko mbele ya haki alikotangulia) aliyokuwa akileta nyumbani ninayakusanya na kuyauza kwa akina mama ntilie kwa ajili ya kupakia maandazi na vitumbua.

Nilikuwa sikosi angalau shilingi ishirini mfukoni ili niwahi Avalon au Empire Cinemas kama sio Drive Inn.

Aisee we acha tu, vijana wa miaka ile tulijifunza kushughulika na kuchakarika na hapa tulipo leo kwenye mid 40s tunapaswa kujikumbusha mambo haya na kuwasimulia wanetu na kuwafunza kuwa wastahamilivu kwenye maisha.

Namtakia kila mwana JF kheri ya mwaka Mpya wenye furaha na amani miyoyoni na kwa wewe BAK na wale wapenzi wa mpira wengine basi kesho tukutane pale kwenye jukwaa letu tukufu la Arsena Thread.
 
Last edited by a moderator:
Hongera zako bank account imetuna hadi zinamwagika lol!!!! inabidi ufungue bank account nyingine sasa hivi moja haitoshi tena 🙂🙂

ha haaa, mwenzio siku hizi naishi uzunguni, no madebe.....
si nilikuambia sherehe ya full wallet niliifanya 1999?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu BAK, unafahamu mimi nilikuwa mtundu sana na kwa sababu ya utundu huo nilianza kujifunza kusoma magazeti nikiwa na miaka mitatu kabla hata ya kwenda shule, kwahilo namshukuru sana marehemu mdingi ambae kila siku alikuwa akirudi na ama gazeti la Uhuru, Daily News, na Mzalendo.

Jumamosi ilikuwa ni bonus kwangu, kwasababu kulikuwa na magazeti matatu Uhuru , Daily News na Mfanyakazi.

Halafu mimi pia nilikuwa na tabia ya kukata picha na habari fulani muhimu sana na leo hii ningekuwa na nafasi fulani hivi kuchangia historia kwani nilikuwa na kumbukumbu zote za kesi ya uhaini, kesi ya mauaji ya Asha Mkwizu, uvunjaji wa baraza jipya la mawaziri aloufanya Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi na pia nilikuwa ninayo picha ambayo Hayati Mwalimu Nyerere alipiga na akiwa Chamwino na mheshimiwa Seif Shariff Hamad kabla hatamvua uwaziri kiongozi.

Lakini kwa bahati mbaya nilikuja kupoteza "treasure" hiyo kwenye masuala ya kuhamahama kikazi.

Asikudanganye mtu BAK, Old Skool ndio yenyewe.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hongera zako Mkuu. Najua uliudhika sana kupoteza hazina yako, leo na vitu kama JF n.k. ungekuwa unashusha kumbukumbu mbali mbali za miaka ile.

Mkuu BAK, unafahamu mimi nilikuwa mtundu sana na kwa sababu ya utundu huo nilianza kujifunza kusoma magazeti nikiwa na miaka mitatu kabla hata ya kwenda shule, kwahilo namshukuru sana marehemu mdingi ambae kila siku alikuwa akirudi na ama gazeti la Uhuru, Daily News, na Mzalendo.

Jumamosi ilikuwa ni bonus kwangu, kwasababu kulikuwa na magazeti matatu Uhuru , Daily News na Mfanyakazi.

Halafu mimi pia nilikuwa na tabia ya kukata picha na habari fulani muhimu sana na leo hii ningekuwa na nafasi fulani hivi kuchangia historia kwani nilikuwa na kumbukumbu zote za kesi ya uhaini, kesi ya mauaji ya Asha Mkwizu, uvunjaji wa baraza jipya la mawaziri aloufanya Alhaj Mzee Ali Hassan Mwinyi na pia nilikuwa ninayo picha ambayo Hayati Mwalimu Nyerere alipiga na akiwa Chamwino na mheshimiwa Seif Shariff Hamad kabla hatamvua uwaziri kiongozi.

Lakini kwa bahati mbaya nilikuja kupoteza "treasure" hiyo kwenye masuala ya kuhamahama kikazi.

Asikudanganye mtu BAK, Old Skool ndio yenyewe.
 
Last edited by a moderator:
Nitakuja kuzisimamia hizo push ups nione kama za kweli au unafanya utani tu lol!!!! utakoma ubishi hakuna kucheka 🙂🙂

Hahhahahahahah salaleee...wallah msimamizi wewe utaniua utataka nipige push-ups hadi nitoe six pack lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
1483335_657183874324937_122232548_n.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
lol!!! hahahaha kwa kuwa ndiyo unaanza kupambana na kitambi basi nitapenda kuona juhudi za kuondoka kutoka kwenye one pack lol!!!! na kusogea kwenye 2 packs 20 push ups huku nimekunja ndita 🙂🙂 ukishamaliza ndiyo tunaweza kucheka.

Hahhahahahahah salaleee...wallah msimamizi wewe utaniua utataka nipige push-ups hadi nitoe six pack lol..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom