Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

MUNGU awe nasi.. siku zote za maisha yetu,

wala si hapa katika kumalizia mwaka tu,

ee baba uwalinde na kuwaweka mikononi mwako watoto wako wote.. nawaweka mikononi mwako Passion Lady, BAK, Mentor, mzurimie, Lizzy, ladydoctor, Threesixteen Himself, YOU TUBE, miss chagga, King'asti, Madame B, Invisible, Paw, Fang, (nawaombea hawa mamoderator wapunguze ban, watafute plan B!!) Arushaone, sosoliso, Ritz, Zitto, Mwl.RCT, habari ya hapa, Mashaxizo, Daudi1, Daud omar, sister, Sista, shansarie, Baba V, charminglady, Kasinde, Kongosho, badiebey, Preta, Chimbuvu, watu8, Judgement, Kasinde, kahtaan, Dr.Mo, snowhite, Sangarara, Blaki Womani, miss strong, miss wa kinyaru, Mzee wa Rula, Mtambuzi,... na wengineo wooote!!!!!
Asante, barikiwa
 
jamani BAK una mambo wewe hizi video zako watoaga wapi lakini?

asante nawe uwe na mwaka mpya mwema huko kwenu kwani sisi tushauona hapa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
We mdada unamambo, "chotta matte" ndio huku uswailini tunasema "kula denda" sio?

heheheeeee hiko ni kijapan bana just google u will enjoy the language, achana na kula denda la uswahilini unaweza kula kohozi bure si unajua uswazi kulivo......
 
hahahaa u made me laugh out loudly Sangarara.....am I chatting with the Lawyer here!!!!!!
I only know business and am in big doubt that If you will open legal charges against meI will loose
..The curves aren't dangerous join me sometimes and you will see how things are!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

I didn't deny ur presence I just cant explain it the way I want to

Okay, I know how to get that information from you.
 
how will you!!!!!am curios to know which way will you use

Just be patient, soon I will have obtained every detail, and if I find myself accessing your classified personal information, it will not be my fault as you have forced me to do so.
 
Just be patient, soon I will have obtained every detail, and if I find myself accessing your classified personal information, it will not be my fault as you have forced me to do so.

All the best in your Mission
 
Mhhhh! Mwenzetu weye uko kipande gani cha dunia yetu ambako mmeshauona mwaka mpya? Australia, China au Japan? lakini kwa saa ulizotuma hii hata huko walikuwa bado wanacheza na mwaka 2013.

jamani BAK una mambo wewe hizi video zako watoaga wapi lakini?

asante nawe uwe na mwaka mpya mwema huko kwenu kwani sisi tushauona hapa
 
lol!!!! hahahahahah aisee aliyetengeneza hii kitu abarikiwe sana. Kwa wapenda muziki, movie na vichekesho huko mahali ni bomba sanaaaa.

ahsante sana mzee wa miyutyubu!
 
Last edited by a moderator:
lol!!!! hahahahahah aisee aliyetengeneza hii kitu abarikiwe sana. Kwa wapenda muziki, movie na vichekesho huko mahali ni bomba sanaaaa.
wameshabarikiwa mpaka wanajishangaa. mzima wewe lakini?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni kweli, aisee mzima kabisa namshukuru sana Muumba wetu naomba 2014 uwe kama 2013 au hata zaidi. Nawe ukoje lakini? ushaanza kutengeneza mahanjumati ya kuagia mwaka mpya?

mwaka 2013 kweli ulikuwa mwaka mzuri, natumai na huo ujao hautotuangusha.maanjumati yapo. karibu sana.... leo na kesho nashinda jikoni tu. staki masihara. lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom