Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Kwaheri 2013 karibu sana 2014

Good to know that.

thanks, najua jinsi ya kuingia niliachaga pc version nitumie kwa laptop au pc tu as inaniboa. wishing wangeweka like kwa wap naona ni rahisi kubrowse kusoma posts.
 
lol!!! hahahahahaha mie nilikuona huonekani nikahisi tu huyu kishauchapa na zoezi lote la juzi bado hukufua dafu hahahahaha.... Ulivyoona kitanda ukajisemea "Isiwe tabu, shida yote ya kukesha kisa!? Chezeya unyaunyau weye lol!!!

Ahahahahaha kukesha kuna wenyewe....mwaka mpya umeingia nimelala nakoroma lol
 
lol!!!!! leo maduka yote yamefungwa hivyo huo udenda wako uliokujaa mdomoni 🙂🙂🙂 kwa kutamani shrimps itabidi uusave hadi keshoooo ili uweze kuitibu hamu yako ya kutamani hao shrimps.

Alafu hao shrimps upate na ile pilipili yetu ilee watoelea utamu wake acha tu....mate yamenijaa lol kwa uroho😱😱😱😱😱😱
 
Sasa msosi wake mahali hapo weee....appetizer unaanza na shrimps wakubwa kabisa wamechemshwa tu lakini watamu ile mbaya.

Tiger shrimp na cocktail sauce....

shrimp_cocktail.jpg

shrimp-cocktail-fb.jpg
 
lol!!!!! leo maduka yote yamefungwa hivyo huo udenda wako uliokujaa mdomoni 🙂🙂🙂 kwa kutamani shrimps itabidi uusave hadi keshoooo ili uweze kuitibu hamu yako ya kutamani hao shrimps.

Hhahahahahah walah leo nimepika chakula nakipenda hapa nimeshiba kitumbo mbwi kama nimekula hamira lol
 
Hongera zako ndio raha ya kujua kukaangiza.

Hhahahahahah walah leo nimepika chakula nakipenda hapa nimeshiba kitumbo mbwi kama nimekula hamira lol
 
lol!!! hahahahahaha mie nilikuona huonekani nikahisi tu huyu kishauchapa na zoezi lote la juzi bado hukufua dafu hahahahaha.... Ulivyoona kitanda ukajisemea "Isiwe tabu, shida yote ya kukesha kisa!? Chezeya unyaunyau weye lol!!!

Alafu usingizi wa jana mtamu sana....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Last edited by a moderator:
Niko njiani farkhina 😛lane:...Ugali najua huupendi lol!!! usije ukaumwa tumbo bure lol!!!

Ah samaki si wapo wengi? Ugali ntakula.....au nyama choma kwa ugali....
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Mhhhh! Naona unazengea kitoweo tu weye!!! Tonge moja la ugali samaki mzimaaa lol!!!!! ukimaliza hapo mie nimeshiba naomba maji ya kunywa lol!!!!

Ah samaki si wapo wengi? Ugali ntakula.....au nyama choma kwa ugali....
 
Mhhhhh! Sikuwahi kujua kama udenda ni rasilimali lol!!!! haya banaaa tunza rasilimali yako hiyo...Machina wasije kuichangamkia bure lol!!!!

Weee hii rasilimani ivoo niitie kwenye kopo ntaitupa bure lol😛😛😛😛😛😛😛
 
Mhhhhh! Sikuwahi kujua kama udenda ni rasilimali lol!!!! haya banaaa tunza rasilimali yako hiyo...Machina wasije kuichangamkia bure lol!!!!

Hahhahahahaha unajifanya hujui eeeh....basi bora nsikwambie nkakuza bure lol
 
  • Thanks
Reactions: BAK

Similar Discussions

Back
Top Bottom