Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Kweli kabisa ila hawa walikamatwa kizembe sana baada ya miezi

Sent from my iPhone using Tapatalk
Nadhani Askari walipaki kando au tuseme jirani na jamaa baada ya kuwa wanaifuatilia hii gari, na nadhani walikua vijana weusi! Kumbukumbu zinagoma
 
Usishangae Mkuu, kuna watu humu wanapenda Porn, kila mtu yuko busy kutoa comment yaani ni wastaarab utadhani wako kwenye ibada ya uvuvio.
Kuna members hutakaa uwaone jukwaa lingine lolote mahali popote wao ni kule tu. Na wana siri Freemasons watasubiri. Kwahio wala usiogope
jukwaa gani???%
 
Nadhani Askari walipaki kando au tuseme jirani na jamaa baada ya kuwa wanaifuatilia hii gari, na nadhani walikua vijana weusi! Kumbukumbu zinagoma

Mmoja alikuwa na miaka 41 sniper
Na dogo alikuwa na 17 wote weusi
Walichoka sana wakaegesha gari kando ya barabara ndipo polisi wakasimama kuwahoji kumbe wamelala fofofo
Hapo ndio ukawa mwisho wao
Kosa kulala

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Mmoja alikuwa na miaka 41 sniper
Na dogo alikuwa na 17 wote weusi
Walichoka sana wakaegesha gari kando ya barabara ndipo polisi wakasimama kuwahoji kumbe wamelala fofofo
Hapo ndio ukawa mwisho wao
Kosa kulala

Sent from my iPhone using Tapatalk
Yeeeeeeees! Hahahaha sahihi hasa, maana nilikua kama nakumbuka walikua kando hivi
 
Attachments

  • tapatalk_1532278400281.png
    tapatalk_1532278400281.png
    59.8 KB · Views: 9
Back
Top Bottom