Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Story nzima hii hapa ya huyo Mama, maneno yake yamejaa misimamo na hakuyabadilisha hadi ananyongwa, anasema alikua anajua alichokua anakifanya. Very interesting. Nimecopy na kupaste kwa sisi ambao hatuna bundle

Wuornos' last words: 'I'll be back'
Tuesday, October 15, 2002 Posted: 5:40 PM EDT (2140 GMT)

1.gif
Aileen Wuornos talks to her attorney, Raag Singhal, at a hearing last July.
Aileen Wuornos talks to her attorney, Raag Singhal, at a hearing last July.
1.gif
Story Tools​
1.gif
more video
VIDEO
Aileen Wuornos, who became known as the first female serial killer in the U.S., faces execution. CNN's Mark Potter reports (October 8)
premium content
PLAY VIDEO
1.gif
1.gif
RELATED
List: Women executed in the United States
Wuornos v. State of Florida: (Fl. Sup. Ct. 1996) (FindLaw document)
external link
1.gif
STARKE, Florida (CNN) -- Saying she'd be back, serial killer Aileen Wuornos was executed by lethal injection Wednesday at the Florida State Prison in Starke.

Wuornos was pronounced dead at 9:47 a.m. ET, said Sterling Ivey, a spokesman for the Florida Department of Corrections.

Wuornos, called "The Highway Hooker" and "The Damsel of Death," admitted she killed six middle-aged men in 1989 and 1990, luring some of them by posing as a stranded motorist on north central Florida highways.

Florida state attorney John Tanner, who prosecuted the Wuornos case, said after watching the execution that Wuornos' actions were "not much different from the present killer in the D.C. area."

"She killed seven men in cold blood," said Tanner. "She didn't premeditate the individual killing. She had a pattern, and she took targets of opportunity ... just whoever happened in her path on the day that she decided to kill."

The Wuornos case was the subject of books, movies and even an opera. In time, she apologized to her victims' families. But last year -- after a decade on death row -- Wuornos volunteered for the death penalty, saying she would kill again.

"There is no point in sparing me," she said in July 2001. "It's a waste of taxpayers' money."

Wuornos' bizarre final statement was a mix of religion and science fiction:

"I'd just like to say I'm sailing with the Rock and I'll be back like 'Independence Day' with Jesus, June 6, like the movie, big mother ship and all. I'll be back," Wuornos said.

Police said Wuornos, 46, was a prostitute who worked the Florida highways when she gained notoriety as a female serial killer.

Sgt. Bob Kelley of the Volusia County Sheriff's Department -- who investigated the killing of Wuornos' first victim, Richard Mallory -- said Wuornos shot her victims to death, robbed them and then dumped their bodies.

At first, she claimed she acted in self-defense.

"After she was convicted of the first murder of Richard Mallory, she then pled guilty to the others, and after a certain point in time she started to recant and say she wasn't a victim," Kelley said. "She simply robbed and killed those men to gain their personal property and to gain money."

When she asked to be put to death, Wuornos said the same thing.

"I killed those men, robbed them as cold as ice. And I'd do it again, too," Wuornos said. "There's no chance in keeping me alive or anything, because I'd kill again. I have hate crawling through my system."

Wuornos stood trial only for the killing of Mallory; she pleaded no contest to five other killings. And police believe she was responsible for the death of a seventh man, but his body was never found and Wuornos was not charged in his death.

Recently, as the execution date drew near, a defense attorney raised questions about whether Wuornos was mentally competent to demand her own death by lethal injection. But Wuornos insisted she knew what she was doing.
"I am so sick of hearing this 'she's crazy' stuff," she said. "I've been evaluated so many times. I'm competent, sane, and I'm trying to tell the truth, and I'll take a polygraph on every single word on those pages."

After examining Wuornos, a panel of three psychiatrists ruled her competent for execution and Florida Gov. Jeb Bush agreed.

Wuornos said last week during a final psychiatric evaluation she was ready to die because she was "tired of lying," Tanner said.

"I believe her spiritual conversion had something to do with it," he said. "She said she knew she was being executed for the killing of six men, but that she had actually killed a seventh."

Tanner, who watched the execution, said he prayed for Wuornos, "for all the victims and for all of us" as he watched.

"This is a tough business," he said. "But I think it's necessary."

-- CNN Correspondent John Zarrella contributed to this report.​
 
kwa wanaonidai sina,.

Ila nina wenye visasi nao tuu. Na penda niwe miongoni mwa wa kwenye ma List kama haya.

Ngoja #Corona lipite kwanza maana wengine humu hawana hata siku 30 za kuishi corona itakuwa imeshawapitia

[emoji23][emoji23][emoji23]
Serial killers huwa hawachagui bali unaanza na yoyote tu halafu unaendeleza unapitia hata mbwa wa jirani
We anza na mmoja halafu unanogewa mwisho unaanza kula nyama zao kabisa kwa hasira


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Serial killers huwa hawachagui bali unaanza na yoyote tu halafu unaendeleza unapitia hata mbwa wa jirani
We anza na mmoja halafu unanogewa mwisho unaanza kula nyama zao kabisa kwa hasira


Sent from my iPhone using Tapatalk
Nakubali kamanda.

Ila mi naona kwanza nijifanye chizi nipate hata karatasi ya milembe na kwa madokta pia.

Hata siku nikaja kamatwa vyeti vyangu vinitetee
 
Kuna Andrei Chikatilo.

Mwalimu, muonekano wa upole, umri umeenda kidogo lakini katili aliyewalenga watoto wa kiume, wote kuanzia miaka 7 mpaka 21 na mabinti kwa uchache. Wahanga wake walikua ni vijana wa mitaani au maskini walioshinda kwenye stesheni za treni za Urusi.

Urusi ilikua na njaa. Kwa kuwahadaa kwa chakula na pesa Chikatilo alijihakikishia kua na wahanga kwa kadri alivyojisikia. Alitafuta mhanga mwanamke pale tu alipokosa wa kiume kwakua ndani mwake aliwaonea wivu watoto wa kiume akiona wanakuja kuishi na kupitia maisha ambayo yeye hakuyapitia kingono.

Chikatilo alikua hanithi.

Hata namna yake ya kuua wahanga wa kiume ilikua ni kuwakata kata sehemu za siri. Mwanzoni wahanga wake alikua akiwatoboa macho, alipoulizwa baadaye alisema anahofia mhanga wake kubaki na taswira yake machoni na kwenda nayo mbinguni, alipogundua hiyo imani siyo kweli akawa anawaachia macho yao.

Chikatilo alianza kuua mapema na ni siku hiyo ndiyo akajua wapi atapata msisimko wa kingono, sababu pekee ilimfanya ajizuie ni kazi yake ya ualimu ilikua ikimhamisha hamisha. Anasema kua alikua akipigana mieleka na mwenzake mmoja akiwa amemkaba kwa kumuweka chini alijishangaa akisimamisha mbo.o. Anadai alimuua bahati mbaya lakini yawezekana alitaka kujua mwisho wa kumkaba kama ingemsaidia tatizo lake.

Alikua mdogo hata hakuhisiwa kama angeweza kuua.

Kuanzia 1970s mpaka 1990s Chikatilo akazunguka Urusi akijiongezea idadi ya wahanga, akapachikwa jina the Rostov Ripper, kwake idadi ya visu ilitathmini kiwango chake cha kusisimuliwa kingono, hivyo haikua ajabu kukutwa maiti yenye majeraha ya visu kuanzia 40 mpaka 100.

Mhanga mmoja aliokotwa karibu na njia ya kwenda kwa jamaa ambaye ni sexual offender kwa kuhofia kuhusishwa na tukio, akajinyonga.

Maofisa wa KGB wakishirikiana na polisi wakaweka maafisa wao stesheni zote za Treni wakitumaini mhusika atajichanganya na kujilengesha kwa afisa mmoja. Mpango ulifeli, muda huo Chikatilo alikua kikazi sehemu nyingine hivyo Rostov ikatulia kwa muda ila huko alipoenda hali ikachafuka.

Akarudishwa tena Rostov akakamatwa katika mpango wa KGB kupunguza idadi ya washukiwa. Akakutwa ana kisu na kamba kwenye begi, ambacho hakua nacho ni rekodi ya uhalifu hivyo wakamuacha aende, wakasulubiwa waliobaki, wakakiri makosa ili suluba zisiendelee na wakahukumiwa kunyongwa.

Ila mauaji hayakukoma.

Wakajua kua waliingia chaka, wakarudi tena kazini. Safari hii wakafanya tena zoa zoa nyingine, na katika zoa zoa hii Chikatilo alikuemo pia, mkuu wa upelelezi machale yakamwambia huyu ndiye mtu wetu tatizo ni kwamba inabidi akubali haraka kwakua sheria imeweka ukomo wa siku unazoweza kukaa na mshukiwa ambaye hujayajua mashtaka yake.

Chikatilo alikana kila kitu na akatolea maelezo kila alichoelekezewa. Mkuu wa upelelezi akafuatwa na mwanasaikolojia ambaye aliomba amprofile na aongee na Chikatilo. Akamkatalia. Tunadeal na muuaji saikolojia yako itafaa nini?

Kisha ikabaki siku moja ili ukomo wa sheria utimie na Chikatilo aachiwe mkuu wa upelelezi akamuita yule mwanasaikolojia akamkabidhi zigo la misumari.

Mwanasaikolojia akaanza kumuelezea jinsi alivyo akasema kua "Wewe ni hanithi" kufikia hapo Chikatilo akang'aka akaanza kutoa maneno makali, askari wakajua wameipata breki waliyoitafuta kwa miaka 12. Alipoambiwa kua ulikua unawatoa macho kwakua uliogopa sura yako kubaki machoni mwao akabaki mdomo wazi.

Hunijui sikujui unawezaje kuniambia nilivyo kisirini? Chikatilo akakiri.

Akaelezea matukio, akaelezea kwanini mauaji kuna muda yalikoma Rostov. Akaelezea jinsi alivyoziingilia na kupigia punyeto maiti. Orodha ilikua ndefu, karibia watu 100 ila ripoi iliyothibitishwa ilishusha idadi.

Mahakamani Chikatilo ilibidi afungwe kweye 'Cage' ripoti nyingine zinagomea hili swala kua halikutokea ila picha zipo. Muda wote wa kesi Chikatilo alikua kama chizi, anaweza kua sawa dakika hii, dakika inayofuata atatukana kuanzia hakimu, shahidi, wakili mpaka waandishi wa habari.

Baada ya muda hukumu ikatoka Chikatilo akahukumiwa kifo.
Daah! Mpaka nimetetemeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna story inaitwa Mind ***,binti na kaka yake walibakwa na mtoto wa sheriff akishirikiana na wenzie,kesi ilipetwa na baba wa binti pia aliuliwa yani iliumiza sana baadae binti akisaidiana na rafiki yake wa utotoni alirudi na kuanza kuua mmoja mmoja kwa kuwatesa kwanza,...story tamu sana
 
Nakubali kamanda.

Ila mi naona kwanza nijifanye chizi nipate hata karatasi ya milembe na kwa madokta pia.

Hata siku nikaja kamatwa vyeti vyangu vinitetee

Yuko jamaa sniper alikuwa na kijana
Huyu alikuwa anadungua mmoja mmoja akiwa kwenye boot ya gari
Ilichukua mda kupatikana tena kizembe wakiwa wamelala kwenye gari barabarani
Msome zaidi
Namkubali sana huyo ila mwisho alihukumiwa kufa na alichomwa sindano ya sumu
Adjustments.jpg



Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Yuko jamaa sniper alikuwa na kijana
Huyu alikuwa anadungua mmoja mmoja akiwa kwenye boot ya gari
Ilichukua mda kupatikana tena kizembe wakiwa wamelala kwenye gari barabarani
Msome zaidi
Namkubali sana huyo ila mwisho alihukumiwa kufa na alichomwa sindano ya sumu View attachment 1419015


Sent from my iPhone using Tapatalk
Nadhani hii nilishaiona aiseeee
 
Kuna nyingine nimekumbuka sasa hivi, nadhani ilikua inaitwa "The Witness that Never Lies". Huyu mshkaji yeye alikua anakuja nyumbani anagonga anajifanya ana parcel ameleta, ghafla anawageuka na kuua na kukimbia au anaenda kwenye maegesho ya magari anamtageti victim wake, kisha anaondoka bila kujulikana.

Jamaa wakaanza kufuatilia mdogo mdogo kwa bahati mbaya sana style yake ya uuaji ilikua moja tu, alikua anachoma visu (sikumbuki vyema), ila siku moja aliua kwenye parking ya Supermarket, kumbe CCTv zilimuona then akaondoka zake, siku nyingine akaenda nyumbani kwa mtu akamuua mwanamke kumbe ile nyumba nayo ilikua imefungwa CCTV cameras, jamaa hakujua.

Ujinga mwingine alikua akitumia gari hio hio kutekeleza matukio yake, jamaa wa Forensic Investigation wakaanza kufanya yao, dah kumbe ni mshkaji humble sana utadhani ni kiongozi wa Malaika!

Kilichosaidia hadi kumwekea mtego ni CCTV camera ndio maana kikaitwa THE WITNESS THAT NEVER LIES!! Nimefupisha
 
Back
Top Bottom