Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Kwa wapenzi wa mambo ya mauaji tu

Nimeanza kupenda kufanya mauaji ghafla,.

Nahisi kama kuna pepo limeniingia baada ya kusoma huu uzi.

Msaada plz naona nashindwa kujizuia
(sijui kama siku ya leo itapita salama kwangu)

Naona ukianza na wanaokudai utamaliza mji [emoji23][emoji23][emoji23]
Utaingia kwenye list ya serial killers na wewe
Anza tu Mkuu


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Fuatilia On the case with Paula Zahn huwa ni serial killers documentaries za maana zenye kuonesha michakato ya upelelezi hadi wanapatikana. Pia channel E ile ya South Africa huwa siku za wiki jioni kuanzia saa 12 hadi saa 1 wanaweka hizi documentaries. Kwenye DSTV angalia channel ya Investigation Discovery pia kuna Fox Reality utapenda. Serial killers wengi nitatupia majina soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilisoma riwaya ya Sydney Sheldon inaitwa tell me your dream, mhusika mkuu alikua binti aliekua anaua wanaume bila yeye kujua.

Akiwa mdogo aliwahi kubakwa mala nyingi na baba yake hali hiyo ikapelekea augue ugonjwa unaoitwa MPD (Multiple Personality Disorder) huku kwetu tunaita "mapepo au majini"

Jamaa wa kwanza kuuwawa, huyu alipendana na huyo binti ila mshua wa binti akawa mkali akampiga marufuku jamaa asisogee karibu na binti yake, binti akatoroka usku akaruka fensi akaenda kwa jamaa ila akajishauli kua arudi tu home ataenda kesho asbuhi, hivyo akarudi home. Asbuhi akaenda kukutana na jamaa stesheni ya treni lakini jamaa hakutokea!! Kumbe Jana yake usiku alipoamua kurudi home jini lake moja likachukua nafasi ya nafasi yake likamuongoza hadi kwa jamaa, jamaa akaomba mapenz akafosifos kidogo wakati anakula mzigo akashitukia anachomwa chomwa visu mwili mzima. Wakat anamchoma visu akawa anasema baba acha baba acha lazima nikuue ili usimfanyie mtu nwingine mambo kama haya!

Jamaa wa pili, huyu yeye alikua mfanyakaz mwenzie katika kampun ya computer, alikua anampenda huyu binti lakin binti akawa hampend jamaa. Siku moja jamaa akamuomba binti aje geton kwake amshauri kitu flan. Binti akaenda baada ya kufika jamaa akampa kinywaji chenye dawa ya usingiz alipokunywa akapoteza fahamu ila hapohapo jini lake likachukua nafasi, jamaa akaomba mambo akapewa ila mwisho wake nae ikawa ni kuchomwa chomwa mwili mzima kwa grasi ilokua na kinywaji hadi akafa! Binti aliposhtuka akajikuta yupo mji mwinge tena hotelin hajui chochote kilichoendelea baada ya kunywa kinywaji chenye dawa ya usingz!

Jamaa tatu, huyu yeye alikua mfanya biashara alikutana na binti mtandaon wakaanzsha uhusiano mwisho wa sku wakakutana live nae akala mzgo na akauwawa kwa namna ileile kuchomwa chomwa na kisu! Jini ndilo lilokua linachat na jamaa, yaan lenyewe ndio lililokua linapenda sana kutumia mtandao (na sio binti halis)

Jamaa wa nne, huyu yeye alikua mchoraji. Huyu alipendana na nafasi ya pili ya binti ( jini lake la pili) nae alikufa kwa visu mwili mzma baada ya kula mzigo!

Jamaa wa tano yeye alikua askari polis mpelelez, alikua anafatilia mauaji ya hao jamaa wanne waliouawa, sasa kuna siku huyu mpelelez alienda kulinda kwa binti baada ya binti kuomba ulinzi maana alikuta maandshi kwenye kioo chake cha kujitizama yakisema NITAKUUA! Jamaa alilinda akalala sebken usiku akaskia binti kapiga kelele jamaa akaenda chumbani alipofika akakuta binti katulia afu yuko uchi kabisa jamaa akataman akajilaza pemben hapo mwisho wa sku akala mzgo nae walimkuta nje asbh kala visu vya kutosha!!

Niipenda sana hii stori hasahasa wakati wa uchunguzi na wakati wa kesi nahakamani ilikua ni hatari ila mwisho wa kesi binti alishinda kesi kwa point kuu moja ya kua alikua bila kujua!!

Yale majini yake mawili ni nafsi ambazo zilizaliwa mwilini mwake ili zimsaidie kukabiliana na uchungu na msongo wa mawazo Yaliyo savabishwa na kubakwa kila siku na baba yake.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nmetamani kukisoma.
 
Fuatilia On the case with Paula Zahn huwa ni serial killers documentaries za maana zenye kuonesha michakato ya upelelezi hadi wanapatikana. Pia channel E ile ya South Africa huwa siku za wiki jioni kuanzia saa 12 hadi saa 1 wanaweka hizi documentaries. Kwenye DSTV angalia channel ya Investigation Discovery pia kuna Fox Reality utapenda. Serial killers wengi nitatupia majina soon.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kutupia majina sio weka Na matukio walio Fanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
(1994) Over a 12 month period in the US state of Florida, Aileen Wournos killed seven men. She said it was self-defence yet at her trial asked to be executed. Unusual? Well everything about this case is unusual, not least Aileen Wournos herself, a woman the judge said was evil. Source> Youtube
Ugomvi wake uko kwa wanaume, aliua wanaume saba. Ndiuo serial killer katili wa kike hadi saa maana hadi dakika ya mwisho alikua anatukana lakini mwishoni kabis alaionekana kuishiwa nguvu i mean ujasiri


 
Kwa wale wapenzi wanaopenda kufuatilia visa vya mauwaji, uchunguzi hadi kupatikana kwa Wauthumiwa karibuni tu-share na kufurahi pamoja. we learn something out of this. Hii noi mauwaji tu na theories zake.

Binafsi napenda sana kufuatilia hizi issues hasa kwa wale wanaofuatilia "serial killers'. Hapa unajifunza sababu zinazopelekea mtu kuwa serial killer, anaanzaje, anakuaje, anapata hamu gani ya kuendelea kuuwa, adhabu wanazopewa na maneno ya mwisho wakati wananyongwa.

Lengo ni kujifunza jinsi ya kujilinda na sio kujifunza kuuwa!! Asanteni


Huu uzi unawahusu zaidi wanawake wa Kipare na Kichagga, haya tiririkeni tusome vituko vyenu.
 
Maelezo haya ni kwa msaada wa mtandao, yaani alikua jeuri hadi anawekwa kwenye kiti, akawa anawatukana kuwa wanamchelewesha

Wuornos was pronounced dead at 9:47 a.m. ET, said Sterling Ivey, a spokesman for the Florida Department of Corrections.

Wuornos, called "The Highway Hooker" and "The Damsel of Death," admitted she killed six middle-aged men in 1989 and 1990, luring some of them by posing as a stranded motorist on north central Florida highways.

Florida state attorney John Tanner, who prosecuted the Wuornos case, said after watching the execution that Wuornos' actions were "not much different from the present killer in the D.C. area."

"She killed seven men in cold blood," said Tanner. "She didn't premeditate the individual killing. She had a pattern, and she took targets of opportunity ... just whoever happened in her path on the day that she decided to kill."

The Wuornos case was the subject of books, movies and even an opera. In time, she apologized to her victims' families. But last year -- after a decade on death row -- Wuornos volunteered for the death penalty, saying she would kill again.

"There is no point in sparing me," she said in July 2001. "It's a waste of taxpayers' money."

Wuornos' bizarre final statement was a mix of religion and science fiction:

"I'd just like to say I'm sailing with the Rock and I'll be back like 'Independence Day' with Jesus, June 6, like the movie, big mother ship and all. I'll be back," Wuornos said.



(1994) Over a 12 month period in the US state of Florida, Aileen Wournos killed seven men. She said it was self-defence yet at her trial asked to be executed. Unusual? Well everything about this case is unusual, not least Aileen Wournos herself, a woman the judge said was evil. Source> Youtube
Ugomvi wake uko kwa wanaume, aliua wanaume saba. Ndiuo serial killer katili wa kike hadi saa maana hadi dakika ya mwisho alikua anatukana lakini mwishoni kabis alaionekana kuishiwa nguvu i mean ujasiri


 
Naona ukianza na wanaokudai utamaliza mji [emoji23][emoji23][emoji23]
Utaingia kwenye list ya serial killers na wewe
Anza tu Mkuu


Sent from my iPhone using Tapatalk
kwa wanaonidai sina,.

Ila nina wenye visasi nao tuu. Na penda niwe miongoni mwa wa kwenye ma List kama haya.

Ngoja #Corona lipite kwanza maana wengine humu hawana hata siku 30 za kuishi corona itakuwa imeshawapitia
 
Back
Top Bottom