Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Mbaya... We si umentenga bhana!Acha woga, hahahaha habari za siku nyingi Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbaya... We si umentenga bhana!Acha woga, hahahaha habari za siku nyingi Sana
Alikamatwaje?Kuna Moja ya Mdada alikua serial killer kwa Miaka 25 mfulirizo bila kugundulika.
Alkikua anadili na wazee wastaafu waliokua wameshhafiwa na wake zao, Akifukuzia FAO la WAJANE
Akishaua anahama mji, saa nyingine mpaka nchi.
Anawadunga sumu ya Arsenic kidogo kidogo kwa Miaka miwili mpaka mittatu mfururizo mpaka mzee anaugua KANSA.
Kisha yeye anakua kipaumbele sana na familia kuuguza mpaka mzee atakapokata roho.
Akishakata roho, kisheria anarithi Mali za marehemu na kupewa FAO la WAJANE.
Akishapokea chake anahamia mji mwingine au nchi nyingine.
Anabadili vitambulisho vyake kwa fake I'd.
Akifika anapangisha nyumba ya gharama sana na kununua gari za gharama Rolls Royce, cardilac n.k.
Kisha anaibuka viwanja wanavyoenjoy wazee wastaafu wenye pesa zao.
Kwa jins alivokua mrembo, wazee Walikua hawaruki
Pia kwa jins alivokua vema kiUchumi,hata usingemstukia kua anadanga.
Alikuja kukamatwa KIZEMBE SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hujibu PM zangu Rafiki
Kweli ujue
Halafu we shetani being anonymous isikupe jeuri ya kuwakosea watu heshima kila unapojisikia. Tena ukome kabisa Mbwa wewe
Alikuja kuangukia kwa Mzee mstaafu wa JESHI LA ANGA LA MAREKANI alofiwa na mkewe ila ana mwanae nae Ni mwanajeshi pia.
Huyu alikua zaidi ya Serial killer na Slay queen! DahAlikuja kuangukia kwa Mzee mstaafu wa JESHI LA ANGA LA MAREKANI alofiwa na mkewe ila ana mwanae nae Ni mwanajeshi pia.
Akawa kama kawaida yake anamdunga ARSENIC.
Baadae alipozidiwa akampeleka hospitali ya jirani.
Kule kule akawa anatibiwa, kwasababu hospitali Ni ndogo. wakipima hawaoni kitu.
Baadae wenzie kutoka jeshini wakambeba wakampeleka kwenye hospitali kubwa ya JESHI.
Yule dada akaendelea kumuuguza huku akimdunga dozi ya Arsenic.
Vipimo vya damu vilipokuja, ikaonekana mzee anasumbuliwa na KANSA ya damu.
Basi Dokta akampa majibu mwanae, nae mwanae akahisi labda inatokana na asili ya kazi yake kutokana na mambo ya mabomu huko jeshini.
Akaendelea kumtibu, huku akijaribu kushusha kiwango Cha arsenic kwenye damu
Cha ajabu,
Dokta akashangaa kuona viwango vya arsenic vinazidi kuongezeka kwny damu na mle wodini Hamna madini Yale.
Basi akahisi Kuna mtu atakua anamuongezea mzee ile Arsenic.
Basi akatega hidenCamera wodini.
Mwisho wa siku,
Camera ikamuonyesha Yule dada akifungua kifuniko Cha dripu na kudondoshea matone kadhaa.
Wakasema isiwe tabu, mwanae akaonyeshwa ile video. Ila hakuamini kabisa akahisi labda Ni Photoshop.
Basi Dokta akaiseti iwe inarusha live. Afu jamaa ajifiche ili wamkamate live kwenye tukio na ushahidi kamili.
Baada ya siku 3 Tena,
Akaenda kuweka kwenye dripu.
Hawakumkawiza,
Pale pale wakaingia na kumsachi. Wakamkuta na mazaga zaga yake.
Wakaenda kwake kumkagua, wakamkuta na madawa mengine zaidi.
Walipomkagua zaidi,
Wakaja gundua kumbe aliwahi kusoma ufamasia na hakumaliza chuo akatoroka kusokojulikana akiwa na miaka 19.
Picha yake ilipowekwa mtandaoni,
Watu kibao wakatoa ushuhuda.
Alipofatiliwa mahusiano yake na wazee walofariki. Mahakama ikaamuru ile miili ifukuliwe na ipimwe.
Walifukua zaidi ya miili 15 na ilipopimwa ile mifupa yote ilionyesha Ina kiwango kikubwa Cha arsenic.
Yule dada alifungwa kifungo Cha maisha jela.
Mali zake zote alizokuanazo zilitaifishwa na kua Mali ya nchi husika.
Akaunti Yale ya PESA,yote ilikua Mali ya nchi ya uswizi.
Maana nako kule aliua wazee wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu dada alikua balaa.Huyu alikua zaidi ya Serial killer na Slay queen! Dah
Hii ndio inaitwa "Elimu ni Ufunguo wa maisha"
mdangaji mwenye malengo marefu[emoji16][emoji16]Alikuja kuangukia kwa Mzee mstaafu wa JESHI LA ANGA LA MAREKANI alofiwa na mkewe ila ana mwanae nae Ni mwanajeshi pia.
Akawa kama kawaida yake anamdunga ARSENIC.
Baadae alipozidiwa akampeleka hospitali ya jirani.
Kule kule akawa anatibiwa, kwasababu hospitali Ni ndogo. wakipima hawaoni kitu.
Baadae wenzie kutoka jeshini wakambeba wakampeleka kwenye hospitali kubwa ya JESHI.
Yule dada akaendelea kumuuguza huku akimdunga dozi ya Arsenic.
Vipimo vya damu vilipokuja, ikaonekana mzee anasumbuliwa na KANSA ya damu.
Basi Dokta akampa majibu mwanae, nae mwanae akahisi labda inatokana na asili ya kazi yake kutokana na mambo ya mabomu huko jeshini.
Akaendelea kumtibu, huku akijaribu kushusha kiwango Cha arsenic kwenye damu
Cha ajabu,
Dokta akashangaa kuona viwango vya arsenic vinazidi kuongezeka kwny damu na mle wodini Hamna madini Yale.
Basi akahisi Kuna mtu atakua anamuongezea mzee ile Arsenic.
Basi akatega hidenCamera wodini.
Mwisho wa siku,
Camera ikamuonyesha Yule dada akifungua kifuniko Cha dripu na kudondoshea matone kadhaa.
Wakasema isiwe tabu, mwanae akaonyeshwa ile video. Ila hakuamini kabisa akahisi labda Ni Photoshop.
Basi Dokta akaiseti iwe inarusha live. Afu jamaa ajifiche ili wamkamate live kwenye tukio na ushahidi kamili.
Baada ya siku 3 Tena,
Akaenda kuweka kwenye dripu.
Hawakumkawiza,
Pale pale wakaingia na kumsachi. Wakamkuta na mazaga zaga yake.
Wakaenda kwake kumkagua, wakamkuta na madawa mengine zaidi.
Walipomkagua zaidi,
Wakaja gundua kumbe aliwahi kusoma ufamasia na hakumaliza chuo akatoroka kusokojulikana akiwa na miaka 19.
Picha yake ilipowekwa mtandaoni,
Watu kibao wakatoa ushuhuda.
Alipofatiliwa mahusiano yake na wazee walofariki. Mahakama ikaamuru ile miili ifukuliwe na ipimwe.
Walifukua zaidi ya miili 15 na ilipopimwa ile mifupa yote ilionyesha Ina kiwango kikubwa Cha arsenic.
Yule dada alifungwa kifungo Cha maisha jela.
Mali zake zote alizokuanazo zilitaifishwa na kua Mali ya nchi husika.
Akaunti Yale ya PESA,yote ilikua Mali ya nchi ya uswizi.
Maana nako kule aliua wazee wawili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Investor!
Weka link au title tuipandie, tuko kwa lockdownkuna movie moja ni ya mhuni mmoja sniper anaua vijana waliokuwa wanakwenda kusherehekea birthday ya mwanachuo mwenzo.
walikuwa kama 7 hivi wote waliishia njiani,sehemu moja,jamaa alipanda juu ya mti akajificha hapo,alianza kwa kutoboa tyre la nyuma na risasi,kosa lao kusimama wajaribu kurekebisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimeanza kupenda kufanya mauaji ghafla,.
Nahisi kama kuna pepo limeniingia baada ya kusoma huu uzi.
Msaada plz naona nashindwa kujizuia
(sijui kama siku ya leo itapita salama kwangu)
Natural born killer-tupac and ice cubeVery good ukiataka taarifa zaidi tafuta hii document ipo online
Natural Born Killers?: The Development of the Sexually Sadistic Serial Killer
Bradley R. Johnson, MD, and Judith V. Becker, PhD
Nipo nameza mate nasubiri, asubuhi nilikua naangalia moja inaitwa Love at first Text, dahNarudi...