Nilisoma riwaya ya Sydney Sheldon inaitwa tell me your dream, mhusika mkuu alikua binti aliekua anaua wanaume bila yeye kujua.
Akiwa mdogo aliwahi kubakwa mala nyingi na baba yake hali hiyo ikapelekea augue ugonjwa unaoitwa MPD (Multiple Personality Disorder) huku kwetu tunaita "mapepo au majini"
Jamaa wa kwanza kuuwawa, huyu alipendana na huyo binti ila mshua wa binti akawa mkali akampiga marufuku jamaa asisogee karibu na binti yake, binti akatoroka usku akaruka fensi akaenda kwa jamaa ila akajishauli kua arudi tu home ataenda kesho asbuhi, hivyo akarudi home. Asbuhi akaenda kukutana na jamaa stesheni ya treni lakini jamaa hakutokea!! Kumbe Jana yake usiku alipoamua kurudi home jini lake moja likachukua nafasi ya nafasi yake likamuongoza hadi kwa jamaa, jamaa akaomba mapenz akafosifos kidogo wakati anakula mzigo akashitukia anachomwa chomwa visu mwili mzima. Wakat anamchoma visu akawa anasema baba acha baba acha lazima nikuue ili usimfanyie mtu nwingine mambo kama haya!
Jamaa wa pili, huyu yeye alikua mfanyakaz mwenzie katika kampun ya computer, alikua anampenda huyu binti lakin binti akawa hampend jamaa. Siku moja jamaa akamuomba binti aje geton kwake amshauri kitu flan. Binti akaenda baada ya kufika jamaa akampa kinywaji chenye dawa ya usingiz alipokunywa akapoteza fahamu ila hapohapo jini lake likachukua nafasi, jamaa akaomba mambo akapewa ila mwisho wake nae ikawa ni kuchomwa chomwa mwili mzima kwa grasi ilokua na kinywaji hadi akafa! Binti aliposhtuka akajikuta yupo mji mwinge tena hotelin hajui chochote kilichoendelea baada ya kunywa kinywaji chenye dawa ya usingz!
Jamaa tatu, huyu yeye alikua mfanya biashara alikutana na binti mtandaon wakaanzsha uhusiano mwisho wa sku wakakutana live nae akala mzgo na akauwawa kwa namna ileile kuchomwa chomwa na kisu! Jini ndilo lilokua linachat na jamaa, yaan lenyewe ndio lililokua linapenda sana kutumia mtandao (na sio binti halis)
Jamaa wa nne, huyu yeye alikua mchoraji. Huyu alipendana na nafasi ya pili ya binti ( jini lake la pili) nae alikufa kwa visu mwili mzma baada ya kula mzigo!
Jamaa wa tano yeye alikua askari polis mpelelez, alikua anafatilia mauaji ya hao jamaa wanne waliouawa, sasa kuna siku huyu mpelelez alienda kulinda kwa binti baada ya binti kuomba ulinzi maana alikuta maandshi kwenye kioo chake cha kujitizama yakisema NITAKUUA! Jamaa alilinda akalala sebken usiku akaskia binti kapiga kelele jamaa akaenda chumbani alipofika akakuta binti katulia afu yuko uchi kabisa jamaa akataman akajilaza pemben hapo mwisho wa sku akala mzgo nae walimkuta nje asbh kala visu vya kutosha!!
Niipenda sana hii stori hasahasa wakati wa uchunguzi na wakati wa kesi nahakamani ilikua ni hatari ila mwisho wa kesi binti alishinda kesi kwa point kuu moja ya kua alikua bila kujua!!
Yale majini yake mawili ni nafsi ambazo zilizaliwa mwilini mwake ili zimsaidie kukabiliana na uchungu na msongo wa mawazo Yaliyo savabishwa na kubakwa kila siku na baba yake.
Sent using
Jamii Forums mobile app