Nitakua na shida mimi sio wewe! Yaishe MkuuUmesoma shida wapi kwa comment yangu, una shida??
Hahahahaha nalipia DSTV kwa ajili hio tu!Siku hizi Podcast bila episode moja ya serial killers sijapata usingizi
Tumia na ya kwenye simu mzee. Cheap afu unasikiza kwenye foreni au walkingHahahahaha nalipia DSTV kwa ajili hio tu!
Yaani kuna demu nilikua nachat nae nikamwambia interest zangu nilipo mwambia kuhusu serial killers naona kanipotezea kbsHahahahaha nalipia DSTV kwa ajili hio tu!
Yeah nimeunganisha DSTV na Simu, nahakikisha sikosi.Tumia na ya kwenye simu mzee. Cheap afu unasikiza kwenye foreni au walking
Hahahaha nikajua ni mimi tu kumbe na wewe yamekukuta! Watu hawajui kuwa ni interest kama interest nyingine tuYaani kuna demu nilikua nachat nae nikamwambia interest zangu nilipo mwambia kuhusu serial killers naona kanipotezea kbs
Hii sijawahi jaribu. Dah ila uwa maisha ya Washkaji yananifurahisha sana. Yaani mtu anaua tu bila reason wala haibi mali wala hela.Yeah nimeunganisha DSTV na Simu, nahakikisha sikosi.
Hizi ni issue za wanaume, huwa nashangaa dume linasimulia bongo movie, ze world, Huba sijui nini tena.Yaani kuna demu nilikua nachat nae nikamwambia interest zangu nilipo mwambia kuhusu serial killers naona kanipotezea kbs
Ijaribu iko poa sana na unaweza kuseti reminder Kabisa! Uzuri pia unaweza kuangalia baadae ukitulia! Huna haja ya kugombania remote! Naweza kwenda mahali nakaa natulia nafaidi utamu! Ni addiction moja matata sana!Hii sijawahi jaribu. Dah ila uwa maisha ya Washkaji yananifurahisha sana. Yaani mtu anaua tu bila reason wala haibi mali wala hela.
Yaani kuua kama hobbie tu kama mtu anavo penda pombe, sigara au mastabeshen
Channel gani hizo? Shusha na sisi wengine tujipoteze hukoYeah nimeunganisha DSTV na Simu, nahakikisha sikosi.
Hahahah sidhani kama watapumzika kwa Amani kaka. Duh kuna majamaa hawafai.Ijaribu iko poa sana na unaweza kuseti reminder Kabisa! Uzuri pia unaweza kuangalia baadae ukitulia! Huna haja ya kugombania remote! Naweza kwenda mahali nakaa natulia nafaidi utamu! Ni addiction moja matata sana!
Long Live All Serial Killers na wapumzike kwa amani waliotangulia
Ukiweza kupata Channel ya Crime ya DSTV utafaidi sana. Huko ndio kuna Crimes sio vibaka.Channel gani hizo? Shusha na sisi wengine tujipoteze huko
Kama hiiUnaweza pia kutafuta kwa YouTube "Last words of Serial Killers before execution" jamaa hawaogopi kifo
Usishangae Mkuu, kuna watu humu wanapenda Porn, kila mtu yuko busy kutoa comment yaani ni wastaarab utadhani wako kwenye ibada ya uvuvio.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Usishangae Mkuu, kuna watu humu wanapenda Porn hadi @maxence mello kawafungulia jukwaa lao, ukifika jukwaa la mambo ya kikubwa yaani liko tulivuuu, kila mtu yuko busy kutoa comment yaani ni wastaarab utadhani wako kwenye ibada ya uvuvio.
Kuna members hutakaa uwaone jukwaa lingine lolote mahali popote wao ni kule tu. Na wana siri Freemasons watasubiri. Kwahio wala usiogope
Usishangae Mkuu, kuna watu humu wanapenda Porn hadi @maxence mello kawafungulia jukwaa lao, ukifika jukwaa la mambo ya kikubwa yaani liko tulivuuu, kila mtu yuko busy kutoa comment yaani ni wastaarab utadhani wako kwenye ibada ya uvuvio.
Kuna members hutakaa uwaone jukwaa lingine lolote mahali popote wao ni kule tu. Na wana siri Freemasons watasubiri. Kwahio wala usiogope
Hawa jamaa wana roho nzuri sana, kwa huku Africa ni kama wale wachawi wanaotuchukuaga misukule na kwenda kututesa bila ya wao kufaidika na chochote.Ijaribu iko poa sana na unaweza kuseti reminder Kabisa! Uzuri pia unaweza kuangalia baadae ukitulia! Huna haja ya kugombania remote! Naweza kwenda mahali nakaa natulia nafaidi utamu! Ni addiction moja matata sana!
Long Live All Serial Killers na wapumzike kwa amani waliotangulia