DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,518
Walizingua Sana, Kazi yote waliyofanya walikamatwa kiboya Sana.Walipitiwa usingizi hahaha
Sent using Jamii Forums mobile app
Walizingua Sana, Kazi yote waliyofanya walikamatwa kiboya Sana.Walipitiwa usingizi hahaha
Ila ilikua tamu sana Aiseeee! Waliuwa watu kadhaa
Leo ntaangalia, sema sana ubize sku nying sjaangaliaYaani mambo haya huwa hayanipiti na kila siku lazima niangalie kuanzia saa moja jioni
Sent from my iPhone using Tapatalk
Unakumbuka Title yake?Kuna Moja ya Mdada alikua serial killer kwa Miaka 25 mfulirizo bila kugundulika.
Alkikua anadili na wazee wastaafu waliokua wameshhafiwa na wake zao, Akifukuzia FAO la WAJANE
Akishaua anahama mji, saa nyingine mpaka nchi.
Anawadunga sumu ya Arsenic kidogo kidogo kwa Miaka miwili mpaka mittatu mfururizo mpaka mzee anaugua KANSA.
Kisha yeye anakua kipaumbele sana na familia kuuguza mpaka mzee atakapokata roho.
Akishakata roho, kisheria anarithi Mali za marehemu na kupewa FAO la WAJANE.
Akishapokea chake anahamia mji mwingine au nchi nyingine.
Anabadili vitambulisho vyake kwa fake I'd.
Akifika anapangisha nyumba ya gharama sana na kununua gari za gharama Rolls Royce, cardilac n.k.
Kisha anaibuka viwanja wanavyoenjoy wazee wastaafu wenye pesa zao.
Kwa jins alivokua mrembo, wazee Walikua hawaruki
Pia kwa jins alivokua vema kiUchumi,hata usingemstukia kua anadanga.
Alikuja kukamatwa KIZEMBE SANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah yule mmoja yeye alikua na silaha yenye Silencer na alikua akiwauwa kutokea kwenye gari yake! Ukizoea hizi mambo zina utamu Wake.
Sasa hivi inayotamba ni ile ya The Mind of the Murderer
Web of lies- nliangalia investigation discoveryUnakumbuka Title yake?
Ngoja nitaitafuta
Tupia moja tufurahie.uzi muruah sana
@military_Genius
Asante sana Mpwa. Ngoja nitafute link tuiweke ili iwe rahisi kwa wenzetu pia kuisoma.Kama unapenda story za haya mauaji na unapenda muvi piah nakushaul nenda katazame hi kitu inaitwa PERFUME THE STORY OF MURDER kijana alikua anaua wadada bikra anawakat nywele ili atengenez perfume yenye harufu nzima kuliko zote duniani
Sent using Jamii Forums mobile app
Vya sirini vitawekwa bayana!!!Huyo Depal nilishakutanishwa naye, si mwanamke ni dada poa kumbe.
Wewe kenge kweli kumbe, peleka corona yako huko!