Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Kwa wanawake tu mwanaume usifungue hapa

Hahahaaaaaaaa! Ndo mmefikia hapa wanawake wenzangu? Loooooh! (Siwanangi wenzangu, ninestuka tu!)

Naonaga watu wanaombe boxer za waume zao, mara sijui kupaka mafuta ya mzeituni, ilimradi tu hali si shwari! Hahaaaaaaaaa! Wangejua kina Yuda nao wamo katikati yao kwenye maombi duuuuuuuh!

DAWA KWA YESU TU! Akichepuka tu ataona kama anaweza na kumchepuka Yesu! Akifika huko hana HAMU kabisaaaa! Itaimbiwa mpaka simama dede kitu zzzzzzzzzzzzz! Concious inawaka moto! Sugua goti dada hilo! Oooooooooh! Wake za watu siku hizi jmosi huwakuti majumbani, wapo kwenye MAOMBIIIIII!

Nyumbq ndogo nazo hazikai jmosi, kwenye VILINGE VYA WAGANGAAA! Wanamaliza tu nazi njia panda! Hahahaaaaaaa! Hawakaubali kushindwaaa! Wewe uwe na mume mzuri hivo una nini, yeye adode ana nini? Mtabanana hapo hapo! Anakurushia kimavi hata cheo hupandi, mumeo anakuona big simba wakati uzazi umekuongeza kidogo tu, anakuona bibi yake si bibi yake kumbe midawa ile! Hahaaaa! (Its not a laughing matter!)
Umeongea vyema.
Maombi ni muhimu mno

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Lazima ujifunze kusema mimi mume wangu hato toka nje ya ndoa, lazima ujifunze kujinenea mema kila siku katika ndoa yako

Kumbuka kumuombea kila siku huku ukiizunguka picha yake kama hayupo ila kama yupo omba naye

Semesha hiyo picha semesha vyote ambavyo hutaki afanye,
Kwenye kuomba kuna nguvu sana

Kwa Wakristo mzungushie damu ya Yesu huyo mume kila siku, hao makahaba wasimuone hata wakienda kwa waganga wasimuone

Achilia Malaika wamlinde kila siku

Tafuta siku moja ya kufunga kwaajili yake tuu muombee

Ukiona alianza kucheat rudi kwa Mungu uanze na toba ina maana hukusimama katika zamu yako ya ulinzi wa kumuombea kila siku ndio maana adui kapata mwanya

Wanawake wengi wanatumia dawa za kiganga kunasa waume za watu

Usipo omba lazima abebwe

Hivyo kama Mungu alikupa mume mwambie Mungu mume uliye nipa namrudisha kwako nisaidie kumfinyanga omba hadi upendo.wa kwanza urudi. Hata akiona wengine nje aseme nina mke ninaye mpenda mno

Kingine ni hichi jiangalie nyuma je uliwahi tembea na waume za watu?
Kama ndio rud kwa Mungu omba toba vizur kila siku kwa makosa uliyo yatenda na ufute maneno yote uliyo tamkiwa na watu au mke wa huyo mtu sababu apandacho mtu ndicho avunacho

Angalia je wanawake alio waacha kabla hajaja kwako walimnenea nini?

Yapo maneno huwa tunatamka wadada pindi tunapo achwa hakikisha unaingia katika maombi kutubia na kufuta hayo maneno
Na kuanza kukiri maneno mema kila siku


Na ukiona anacheat usiseme ni fungu langu, sema hii sio yangu na kamwe haitokuwa yangu

Rudi kwa Mungu wewe kaa magotini kuomba hakuna kugombana ukiona unaumia lia na Mungu
Haya machozi yana thamani mnooo kwa Mungu usimkatie tamaa ni mume wakwako ni wako hivyo ombaa narudia tena omba,

Kuwa cheated sio fungu langu, ukijinenea hivi utakuwa mlinzi mzuri ktk maombi kwaajil ya mume. Kuna raha kuomba pamoja kuwa na mume wako.



In ua Presence Jesus is where I belong
 
Na ukiweka dhana wanaume wote ndivyo walivyo na ndivyo itakavyo kuwa,
Waache wanasema kuwa ndivyo walivyo
Wewe kuwa tofauti sema wakwangu yupo tofauti na wengine, wangu analindwa na Mungu, na achilia hofu ya Mungu iingie ndani yake kamwe hato thubutu

Tusipende kuwa na ndoa za kigroup
Sijui naeleweka,?

Kigroup ni hivi , yaani kwakuwa wengine wanaume wengine wanacheat basi ni kawaida hata mimi ni kawaida. Kuwa mwanamke wa tofauti, hata kama wengine wooote watacheat sema wangu ni hato cheat nitakaa kumuombea kila siku, nitakaa katika zamu yangu kuomba vizuri

Wazungu wanasema unique
Sema mume wangu ni wa kipekee au ndoa yangu ni ya kipekee haifanani na mwingine,

Utaona utakuwa mwajibikaji katika maombi

Sio tu uombe asicheat, ombea na mengine kazi watoto uchumi ndugu elimu nk
Utaona ndoa ni nzuri

Niamin kuna ndoa zina raha sana hawajui hata shida na hii ni sababu wamemuweka Mungu kwanza, hata mikwaruzi ikitokea watasolve sababu Mungu wanamjua vyema

Mbinguni hatuolewi hivyo hakikisha ndoa yako ni paradiso ndogo hapa duniani na Mungu anachukia kuachana na anachukia uzinzi

Kaa zamu, narudia tena kaa zamu kaa zamu ya ulinzi katika maombi na sio kumchunguza bila kuomba ukaishia maumivu ya magonjwa


Mume wako akikukosea kama upo vizuri na Mungu utaona atajua tu sababu nilifanya kosa hili kwa mke hata kama hakuniona wapo wanao confess


Na ambao hamjaolewa fanya maombi ya akiba mapema kabla hujaingia katika ndoa.
Muda ukifika Mungu atayatumia hayo maombi

Wapo wanaume waaminifu sana hata kama wengine wakibisha, ila wapo sana tu

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Na ukiweka dhana wanaume wote ndivyo walivyo na ndivyo itakavyo kuwa,
Waache wanasema kuwa ndivyo walivyo
Wewe kuwa tofauti sema wakwangu yupo tofauti na wengine, wangu analindwa na Mungu, na achilia hofu ya Mungu iingie ndani yake kamwe hato thubutu

Tusipende kuwa na ndoa za kigroup
Sijui naeleweka,?

Kigroup ni hivi , yaani kwakuwa wengine wanaume wengine wanacheat basi ni kawaida hata mimi ni kawaida. Kuwa mwanamke wa tofauti, hata kama wengine wooote watacheat sema wangu ni hato cheat nitakaa kumuombea kila siku, nitakaa katika zamu yangu kuomba vizuri

Wazungu wanasema unique
Sema mume wangu ni wa kipekee au ndoa yangu ni ya kipekee haifanani na mwingine,

Utaona utakuwa mwajibikaji katika maombi

Sio tu uombe asicheat, ombea na mengine kazi watoto uchumi ndugu elimu nk
Utaona ndoa ni nzuri

Niamin kuna ndoa zina raha sana hawajui hata shida na hii ni sababu wamemuweka Mungu kwanza, hata mikwaruzi ikitokea watasolve sababu Mungu wanamjua vyema

Mbinguni hatuolewi hivyo hakikisha ndoa yako ni paradiso ndogo hapa duniani na Mungu anachukia kuachana na anachukia uzinzi

Kaa zamu, narudia tena kaa zamu kaa zamu ya ulinzi katika maombi na sio kumchunguza bila kuomba ukaishia maumivu ya magonjwa


Mume wako akikukosea kama upo vizuri na Mungu utaona atajua tu sababu nilifanya kosa hili kwa mke hata kama hakuniona wapo wanao confess


Na ambao hamjaolewa fanya maombi ya akiba mapema kabla hujaingia katika ndoa.
Muda ukifika Mungu atayatumia hayo maombi

Wapo wanaume waaminifu sana hata kama wengine wakibisha, ila wapo sana tu

In ua Presence Jesus is where I belong
A haha ahsante sana mama Mchungaji. Mimi kwa kweli sina ndoa ya kigroup IJN
 
A haha ahsante sana mama Mchungaji. Mimi kwa kweli sina ndoa ya kigroup IJN
Nakumbuka zamani nilikuwa na ulokole wa ki group, ndio nikakumbuka hatuendi mbinguni kwa grp nikaanza kumtafuta Mungu binafsi

Sasa hapa nimeona kuna ndoa za grp hakuna ndoa binafsi ndio maana tukiambiwa kuchitiwa lazima unakubali tu

Wangu nimempa ban hatohubutu na akicheat ujue kuna mahali nilizembea kuomba, kumbe katolewa sadaka ktk madhabahu ya Mungu na maombi juuu[emoji23] [emoji23]

Maombiiiiiii, Mungu mzuri etiii

In ua Presence Jesus is where I belong
 
Me sitachepuka ila nitaishi mazingira ya kimada wa MTU mwingine...najijali watoto nawajali out na wanangu full raha....namtenga kiaina fedha za matumizi namwambia haztoshi....naanza na kufanya mambo ambayo najua hata tukitengana nakua sijutii..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na mke mmoja mkaishi ktk. Ndoa zaidi ya miaka30
Mtafanana mno sura kwa mkulu wetu wa mwanzo kabxaa na mkewe utafkiri mtu na dadake wanavonana
 
Nimepiga chabo maana naona mmesahau kufunga mlango!Mie nauliza hawa wanaume wanachepuka na kina nani?
Umeona! Adui wa mwanamke no.1 ni mwanamke mwenyewe. Nimefuatilia comments zote kwenye hii thread ila naona hili hawalifikirii. Focus zaidi imekuwa kwa mwanamme. Mwanaume hana ujanja bila ya mwanamke kukubali. Ingekuwa vizuri hili jambo waliangalie katika angles zote kwa maana ya roles ya mwanamke na mwanaume katika uchepukaji. Kwasababu wameegemea upande mmoja itakuwa ngumu kupata majibu ya maswali yao.

Pili hapa inaonekana kama wanaume ndo wachepukaji ingawa uzoefu unaonyesha hili tatizo nalo liko upande wa KE. Na wanaume wanalalamika kama wao wanavyolalamika.

Jambo la kuwashauri wanawake bila kuwa biased ni kwamba kuchepuka kwa mwanaume kunaweza kuwa na vyanzo viwili. Moja ni sababu inayotokana na mke na nyingine ni ya mwanaume mwenyewe kutokana na kushindwa kudhibiti matamanio.

Nikianza na sababu zinazotokana na mwanamke, wanawake wanapokuwa wameolewa hujisahau na kuona wamefika. Yale yote waliyokuwa nayo kabla ya ndoa hutoweka na kuona mume walishampata hawana haja ya kumuhangaikia. Hapa tatizo ndo linapoanzia. Wengine utakuta wanashindwa majukumu yao kwa mume na wakijaribu kurekebishwa huwa mbogo na wakati mwingine kumwabia mume ndo nilivyo. Hawawezi kufanya hata kazi ndogo ndogo za nyumbani na kutaka kila kitu wafanyiwe na wasichana wa kazu. Mwingine kama anafanya kazi atataka kuwa sawa na mwanaume na kutaka ku-dictate mambo ya nyumbani bila kujua kwamba hilo kwa mwanaume ni issue zaidi ya wanawake wengi wanavyofikiri. Wanawake wengine wanataka kuishi maisha ya kuigiza wanayoyaina kwenye tamthilia , n.k. Haya yote na mengine taratibu huanza kumfanya mwanaume kukuchoka. Na baadae atatafuta mbadala wako.

Pili wanaume by nature ni wadhaifu na mwanaume anapenda kwa kuona tofauti ilivyo kwa nwanamke ambaye yuko kihisia zaidi. Hii inaelezwa na jinsi mwanamke anavotumia muda mwingi zaidi ili kuleta mvuto kwa jinsia ya ME. Hiyo ni asili na huwezi izuia.

Wanaume wengine wana nguvu nyingi za kiume na mwanamke mmoja anaweza asimridhishe. Hili likichagiwa na mavazi ya siku hizi ya wanawake nalo limechangia sana kuamsha hisia za wanaume walio wengi.

La kufanya ni mwanamke kufanya sehemu yako kikamilifu ingawa bado hiyo haitamzuia mwanamke kuchepuka. Unaweza kuwa na strategy ya kupunguza uwezekano wa kupunguza vishawishi vya mwanaume kama vile kuwa naye sehemu ambazo si salama kwa ndoa yako. Hata hivyo mengine itabidi kumuachia muumba maana siyo rahisi kumdhibiti mwanaume kwa 100%.

Sasa hili nalo wanaume wanatofautiana jinsi ya kujizuia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom