HakikaNi Haszu tena 😀
Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
So what am I missing here?
- Perfume
- Nail cutter
- Lotion
- Body spray
- Lip gloss
- Aftershave
- Tweezers
- bila kusahau mafuta ya nywele
Huyu ni mahi wetu, alishaga tuambia wanawake wa JF tuna sura mbaya hatumfikii ye mzuri akaweka na picha 😀Mababu mbona kama mashindano na kina binti kiziwi ?
Tena ukipaka mafuta ni marufuku kupaka kwny makalio.Mwanaume una dressing table serios au wewe mvula mwanaume unamka unaoga tena bafuni dakika tano nyingi unatoka uko unapaka mafuta unavaa nguo wife ndio anakwambia baba chacha ebu njoo anakurekebisha kidogo au baba nyangema hiyo seruali au hilo shati au hicho kiatu au vipi hapana unatoka zako uyo kwenye mishe saa mwanaume unapaka mafuta umevua nguo zote, unajiangalia kwenue kioo, unapaka poda haaa haaa mambo ya mapooda aaah mnaferi wapi wazee
Dressing table ni kwa wanawake. Kwa wanaume, hivyo vitu vinakaa bafuni, kama huishi nyumba za kizamani, bafuni ndipo hivyo vitu vinakaa (kasoro lip gloss hiyo ni too much).Nataka nipate uzoefu kama kuna kitu kimekosa,
mimi nina
So what am I missing here?
- Perfume
- Nail cutter
- Lotion
- Body spray
- Lip gloss
- Aftershave
- Tweezers
- bila kusahau mafuta ya nywele