Kwa waliosoma Azania sekondari.

Aliyekuwa Mwalimu wa Nidhamu pale azania Mwl.Mchwampaka kwa sasa ni Marehemu!! R.I.P Mchwampaka!! Tutakukumbuka sana hasa kipindi kile cha Skul Baraza!!
 
Hii nimeipenda nakumbuka kuna mtihani wa civics waliuliza jina la mwalimu mkuu wazee wa misuli mikali wengi wakawa hawalijui yaani sijawahi ona watu wakigerezeana namna hile,likaja swali la fill in the blanks la wimbo wa shule ndio kabisa watu walikuwa wanaangaliana tu hakuna wa kumsaidia mwenzake..
Maisha ya kula mihogo kwa Hussein,kumbebea mkoba na rula yake bibi Kihunrwa(mwalimu wa kishwahili) wakati anapanda ngazi polepole,kukuta mfuko wa maji uhai umetobolewa pande zote nne,kuna wale wazee wa mchikichini yaani wao wanaonekana siku za mitihani tu.
 
Namkumbuka H/Master Andrew Kwayu, Mama Temba akitufundisha 'Namba ', 'Kicheche' akitufundisha siasa.
Bible Scripture aiidha pale Don Bosco au ktk jengo moja pale karibu na Muhimbili Hosp.
Ugomvi ktk soccer sie na Tambaza Boys miaka ya nyuma ilikuwa kitu cha kawaida. Siku moja ulitokea ugomvi mkubwa pale ktk uwanja wa shule Muhimbili P/School, tukavulumishiwa mawe na vijana wa O Level, refa alikuwa Padri mmoja wa Ki-Phillipino toka Bon Bosco, baada ya hali kuwa mbaya alichomoa bastora na kupiga risasi mbiili juu! Hiyo ikawa salama yetu.
Nakumbuka ilikuwa tukichoka ku-bukua, tulikuwa tukiingia Pale Paramedical Muhimbili kucheza disco.
Kipindi hicho tukiwa na akina Akilimali Kighoma Malima, Patrick Mkandya, Ismael Kulengwa(Mzee wa kambi), Asimwe Kabunga, Lusajo, Arnold Nzali; Tito William, Muhindi Musyangi, Nelson (Easy E), Rweyemamu (Mom), Adronicus Buberwa, Kantalamba, Abraham Chenelo na wengine wengi.

Na wengi wengi:Evarist Limbanga ,Kirungi Ruteganya,Josephat Kyaruzi,Akida Musa...Mabwai,YAANII WEWEEEEE ACHA TU.
 
Joseph Mwaikasu,Momu mdogo na mkubwa,sub-stance au Jitu(Geofrey),Peter Kintu,Martini Nayingo,Moses,Nyarali nk
9

Cherehani,Abraham..ect.Je mnamkumbuka mwalimu wetu wa tuition:SO MUCH SIMPLE na msemo wake wa University sio choo kila mtu anaingia...eeeeeh alikuwa anatufundisha Advanced Maths na Chemistry? Je mnamumbuka Mzee kazi na Physics yake?Yaani acha tu
 
Mimi nilikuwepo enzi za headmaster:Kisamo.Makumu wake:Mzee Mejja na wakati huo A-level kuna combination ya PCM tu na tulikuwa tunajiita tupo hotelini maana misosi ilikuwa balaaaa.

Ewaa, wewe tulikuwa pamoja wakati ukuta haujajengwa. Kulikuwa na Mwl Amos (kicheche), Mama Semhando, Mwl Bulemo nk, enzi hizo mihogo inakaangwa nje ya fensi ya michongoma. Unamkumbuka mkaanga mihogo aliyeitwa Kizua?
Mzee Kwayu na Mwl Mchwampaka walitukuta pale ASS na tukawaacha.
 
Headmaster Kwayu alitukuta ASS akitokea Ndanda nakumbuka siku analipoti ASS bweni la A-level akamkuta Akili Malima amekata bonge la panki -OPP akamuuliza wewe nani na unafanaya nini hapa akamwammbia mimi A-level,Kwayu akamwambia kweli wewe utafaulu kweli?Jamaa akamjibu subiri matokeo utaoyana na kweli jaama alifaulu.Kuanzaia hapo Kwayu alikuwa mpole kwa A-LEVEL ASS.
 
kujigonga wapi.....jangwani wakati zanaki ,kisutu na forondo(forodhani) walijaa tele... ni kwamba chips aza zilikuwa haziuzwi...ila jangwani zilikuwa za kumwaga. Wana Aza inamaana mmemsahau mwl.PRIMUS-mzee wa maji,RYOBA, NYONI, mtaaluma CHRISTIAN na secon /master MKONGO alikuwa kapinda yaani kwenye gari za mbagala tunadandia wote...kama kawa...maneno kama.KULA DEO-kuchungulia, KUPIGA MTUNGO-kushea, JORO-ukoko wa ubwabwa yalianzia AZA..BOY..ANSHEMBEDUZ.....MNAKUMBUKA? ...ILA KULIKUWA NA WAUZA SURA UKIPITA POSTA YA ZAMANI KIPINDI HICHO HAUWAKOSI DUUUH VERY FUNY. BT NOW IT LOSE ITS TITTLE....
 
Ewaa, wewe tulikuwa pamoja wakati ukuta haujajengwa. Kulikuwa na Mwl Amos (kicheche), Mama Semhando, Mwl Bulemo nk, enzi hizo mihogo inakaangwa nje ya fensi ya michongoma. Unamkumbuka mkaanga mihogo aliyeitwa Kizua?
Mzee Kwayu na Mwl Mchwampaka walitukuta pale ASS na tukawaacha.

Unamkumbuka Mama Temba (mchagga) akifundisha namba A-Level? Mama huyu
alikuwa aki- boa sana ktk ufundishaji wake. Baadaye tukampata mwanafunzi wa mwaka wa pili Stephen Mmanda akitoka UDSM kuja kushusha nyanga ( Math) pale ASS. Mmanda ni Mechanical Engineer sasa yuko TANESCO.

Kuwa
 
Headmaster Kwayu alitukuta ASS akitokea Ndanda nakumbuka siku analipoti ASS bweni la A-level akamkuta Akili Malima amekata bonge la panki -OPP akamuuliza wewe nani na unafanaya nini hapa akamwammbia mimi A-level,Kwayu akamwambia kweli wewe utafaulu kweli?Jamaa akamjibu subiri matokeo utaoyana na kweli jaama alifaulu.Kuanzaia hapo Kwayu alikuwa mpole kwa A-LEVEL ASS.

Namkumbuka Akilimali mtoto wa Kighoma Malima, jamaa alikuwa mtaratibu
Kweli regardless ya High profile ya Dingi yake! Huyu ni kaka yake Naibu Waziri Adamu Malima.
 
Cherehani,Abraham..ect.Je mnamkumbuka mwalimu wetu wa tuition:SO MUCH SIMPLE na msemo wake wa University sio choo kila mtu anaingia...eeeeeh alikuwa anatufundisha Advanced Maths na Chemistry? Je mnamumbuka Mzee kazi na Physics yake?Yaani acha tu

Umenikumbusha Mzee Kazibure (RIP), akitoka Kibaha Sec. Kuja ASS kufundisha
Tuition ya Physics! Alidai kuwa alikuwa darsa moja (USA) na mtunzi maarufu wa vitabu vya Physics - Nelkon.
 
Unamkumbuka yule mzee wa kichagga, mwangalizi wa mabweni aliyekuwa anakaa peke yake pale karibu na bweni la O' Level?
Hata jina nilishasahau! Punishment kipindi kile ilikuwa kulisha yale maviti moto karibu na jiko la shule.

hahaaa namsoma alikua anaitwa YENGELA sijui kama alikua ni Mchaga yule, halafu alikua kila ijumaa lazima aingize Malaya basi sisi tuliokua tunakaa Hosteli tulikua tunasubiri ikifika saa 4 usiku tulikua tunakula CHABO...
 
Na wengi wengi:Evarist Limbanga ,Kirungi Ruteganya,Josephat Kyaruzi,Akida Musa...Mabwai,YAANII WEWEEEEE ACHA TU.

Mumbray Dominic (mu- Iraqi), mtoto wa Cleopa Msuya, Joseph Ndosi, Kintu, Adro Buberwa, Martin Nayingo, Coiler, Lusajo
Kamala Kusyupa, Mzee wa Gitaa la Azania - mkerewe Msilanga Luji, Daniel Mabala (TANROAD, SHY) nk.
 
hahaaa namsoma alikua anaitwa YENGELA sijui kama alikua ni Mchaga yule, halafu alikua kila ijumaa lazima aingize Malaya basi sisi tuliokua tunakaa Hosteli tulikua tunasubiri ikifika saa 4 usiku tulikua tunakula CHABO...

NO, huyo ni Mzee wa Kichagga, Mzee Mejja.
 
Bila shaka pretty ulikuwa demu wangu mimi nilikuwa azajangwa ya ukwata .....pamoja na sheba kusaga, JJ , KINE upande wa kwenu... wa kwetu nawahifadhi
........Yeah, mie nilkuwa azajangwa ya ukwata. Umenikumbusha mbali sanaaaaaa!!
 
mumbray yuko dodom, ndosi dar, kintu dar, wako wapi wakina Nayingo, lusajo , john mwabuku, kamala kasyupa, na wengine wengi... bila kumsahau so much simple na mzee wa nyanga za physics.. mzee kazibure

Mumbray Dominic (mu- Iraqi), mtoto wa Cleopa Msuya, Joseph Ndosi, Kintu, Adro Buberwa, Martin Nayingo, Coiler, Lusajo
Kamala Kusyupa, Mzee wa Gitaa la Azania - mkerewe Msilanga Luji, Daniel Mabala (TANROAD, SHY) nk.
 
si utani umenikumbusha hotelini.... cc kwa mkuu wa kambi na so much simple

Mimi nilikuwepo enzi za headmaster:Kisamo.Makumu wake:Mzee Mejja na wakati huo A-level kuna combination ya PCM tu na tulikuwa tunajiita tupo hotelini maana misosi ilikuwa balaaaa.
 
Back
Top Bottom