Kwa waliosoma Azania sekondari.

si utani mzee kazi bure... mzee wa kuvuta fegi kabla hajaingia darasani na so much simple ... chuo kikuu sio choo kila mtu aingie... mimi ni mmoja wa maoganiser waliwaleta azania... kweli enzi hizo chuo kikuu sio choo kila mtu aingie...
Umenikumbusha Mzee Kazibure (RIP), akitoka Kibaha Sec. Kuja ASS kufundisha
Tuition ya Physics! Alidai kuwa alikuwa darsa moja (USA) na mtunzi maarufu wa vitabu vya Physics - Nelkon.
 
Nilikuwepo

Ezi za Kwayu headmaster
second mistress yule mama aliamia wizarani ..
Discipline master MchwaMpaka

Kwa zamani kweli ilikuwa sifa fulani ..sidhani kama ni anymore..au mimi niko out of touch.Maana naona wazazi wengine hawapeleki tena watoto wao shule hizo japo wamechaguliwa...na pia cha msingi ni matokeo ya mwisho ktk maisha shule ni mwanzo tuu
..Mama angu Mlezi Mama Temba..
..michezo alikua Salum Salum na Mwalimu Khatibu (alikua refa wa Ngumi)
Wagumu walikua TA (Tambaza), ASS (Azania Soma Sana) walikuwa mabishoo.
...hahahahaha..kuna kipindi walibaki tulibaki wenyewe ..ugomvi na jitegemee (don bosco)
azania zaman bwana....................siku iz kila mwanafunzi anajitia kabo snoop visuruali vinawabana. hakuna wagumu wala afu wamekuwa vilazaaa.
...kweli kabisa..hata kichwani si kivilee
hebu nitajie walimu 3 wa azania unaowafahamu?
..Mwalimu Mwachampaka..
..Mwalimu Salum Salum
..Mwalim Khatibu
..Mwalimu Ryoba
..Mwalimu Yengela..(Tokyo)
...dahhhh...long timeeeeeee
 
hahaaa namsoma alikua anaitwa YENGELA sijui kama alikua ni Mchaga yule, halafu alikua kila ijumaa lazima aingize Malaya basi sisi tuliokua tunakaa Hosteli tulikua tunasubiri ikifika saa 4 usiku tulikua tunakula CHABO...
..mkuu nakumbuka hayo matukio..
Tutajie mwaka uliosoma Jangwani kwa kuwa miaka tuliosoma sisi Azania hatukuwashobokea masholi hata kidogo.
..na wengi wao walikua wanajigonga tu
unajua hisi nickname zetu hizi kwenye JF tunashindwa kujuana.Nahisi kama wewe ni classmeet wangu?
..umeona eeh,,mie mwenyewe kuna ID imeandika kitu nahisi tulikua pamoja
Yengela a.k.a. Chapombe...
Afu yule baba hana mbwembwe, akiishiwa hela hata kangara anapiga kama kawaida.
..nishamtoa sana yule viroba double twoo au pale mtaa wa nyamwezi kulikua kuna chimbo moja hivi
halafu walikuwa hawapiti geti lao. Lazima waingilie geti la jangwani washangae visketi ndio waende kwao. Lol. Bora sahivi wamewekewa ukuta wa kuwatenganisha na jangwani.
..hahahahaha..hata nyie mlikua mjajipitisha kuja kujifanya mnaenda hostel ya tambaza..hahahaha
 
azania zaman bwana....................siku iz kila mwanafunzi anajitia kabo snoop visuruali vinawabana. hakuna wagumu wala afu wamekuwa vilazaaa.

Umenikumbusha yunifomu zetu enzi hizo, kaputula ya khaki na shati jeupe la round, hakuna kuchomekea!
Mr Kwayu alipokuja akatulazimisha kuchomekea mashati, aliniudhi.
 
Sikujua mkuu mtu chake na mkuu Mphamvu ni wanaAza boys... Ni kama mimi,early nineties..
Ile label ya zamani ilikuwa ya ukweli,wakaja wajinga wakatengeneza ya kwao,kama ramani ya Afrika,Kwayu akawakubalia..
 
Last edited by a moderator:
Unamkumbuka yule mzee wa kichagga, mwangalizi wa mabweni aliyekuwa anakaa peke yake pale karibu na bweni la O' Level?
Hata jina nilishasahau! Punishment kipindi kile ilikuwa kulisha yale maviti moto karibu na jiko la shule.

Anaitwa Mzee Meja, jina lake halisi Mwl Luiwana. Alikuwa anatupa stori za toka enzi zake akiwa Mwalimu Kijana tu ambapo kina Tarzan wa Yanga akiwa mwanafunzi Tambaza naye akiwa refa ktika mehi ya Azania vs Tambaza.
 
We ulisoma azania o level ama a level?Ulimaliza mwaka gani?Ulikuwa darasa gani?Mi nlikua darasa N form 1na 2 na darasa R form 3 na 4..

Duh, MK. Isijekuwa tulisom Drs moja! mimi nlisoma 1988-91, Form 1-2 nlikuwa "N" na F 3-4 nlikuwa "R". Sisi ndio tulioanzisha Double Session, wiki moja asubuhi wiki nyingine mchana, enzi hizo mabasi ya serikali yalikuwa yakija kutuchukua jioni ili kupunguza kero za daladala.
 
Mimi nilikuwepo enzi za headmaster:Kisamo.Makumu wake:Mzee Mejja na wakati huo A-level kuna combination ya PCM tu na tulikuwa tunajiita tupo hotelini maana misosi ilikuwa balaaaa.

Unawakumbuka footballers maarufu enzi hizo? Robert Mwampembwa (Vimvi), Edward Mpandang'ong'o (ball dancer), Cecil, Tilla,... jazia hapo.
 
Namkumbuka Akilimali mtoto wa Kighoma Malima, jamaa alikuwa mtaratibu
Kweli regardless ya High profile ya Dingi yake! Huyu ni kaka yake Naibu Waziri Adamu Malima.

Enzi zile Tz ilikuwa moja, hakuna matabaka, shule za serikali zilikuwa bora hadi nikarudia ili nipasi kwenda govt.
Unakumbuka, pamoja na Akilimali Malima alikuwepo Emmanuel Nyalali, mtoto wa Jaji Mkuu Nyalali ila yeye alikuwa analetwa na kufuatwa na Benz. Unakumbuka kulikuwa na Mchina mtoto wa Balozi wa Korea
 
Enzi zile Tz ilikuwa moja, hakuna matabaka, shule za serikali zilikuwa bora hadi nikarudia ili nipasi kwenda govt.
Unakumbuka, pamoja na Akilimali Malima alikuwepo Emmanuel Nyalali, mtoto wa Jaji Mkuu Nyalali ila yeye alikuwa analetwa na kufuatwa na Benz. Unakumbuka kulikuwa na Mchina mtoto wa Balozi wa Korea

Mi nilisoma na Frank Ramadhan..mtoto wa Jaji Kiongozi enzi hizo,Agustino Ramadhan,kabla hajawa Jaji Mkuu.
A.k.A. yake ilikuwa JR 4,baadaye JR 6... Ni gari lililokuwa likimleta shule....
Mwanzo pia nilikuwa na Eliamenya Ruhongole. Babaake alikuwa bosi wa NIC nadhani.
Steven Mdoe,siku hizi ni DJ Stevie B..
Namala Mkopi,kwa sasa ni Rais wa Chama cha Madaktari..
 
Unakumbuka chorus ya Azania Anthem?"You are known far and wide you are always our guide,we will never forget you"

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Smiling Saint ,Mwl Lyamuya,Mwl Matley,Mwl Kitundu,Mwl Mrope,Mama Mushi,....

Mwl.Kitundu alinifundisha English yupo deep sana,pia nakumbuka Mwl.Hatia alinifundisha Physical Education hao wengine niliwakuta ila hawakunifundisha.Azaboy 1999-2002 form 1H-Form 4H.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Kwayu kastaafu,mkewe mwalimu Muhimbili Primary.. Mwl Muchwampaka amesha..RIP!

Kwayu alikuwa bonge la headmaster,Mwl.Mchwampaka alikuwa akikutia mikononi utachezea bakora za kila rangi,Mungu ampumzishe kwa amani.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom