Kwa wale waliosoma Ifakara sekondari

Itezi

JF-Expert Member
Feb 8, 2014
389
95
Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari

(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,

1. Mihogo ya ambanjaula

2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko

3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto lumemo

4 kupalilia miraba mirefu ya mahindi Kama vile tuko jkt

5 kuvujiwa maji kwa mabweni ya Lumumba na Nkuruma maana pamoja zege lililowekwa kuvuja Kama nyumba ya nyasi vile

5.
6.
7.
Haya comrades was Cuban sec tujikumbushe name engine meeeengi yaliyojiri tukiwa skuli,,,,,,,,,,,
 
Duh umenikumbusha mbali sana ndugu,mimi nimemaliza pale 2008 ikiwa ni ifakara girls
 
Me nimemaliza pale o-level 2007

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nilipita pale mwaka jana nilipokuwa naelekea Machipi kijijini,nilivutiwa nayo sana...kilichonisikitisha ni uchakavu wa majengo,ni kama imetelekezwa vile.
 
Machipi napakumbuka sana! Sisi tulikuwa wazee wa nyali huko interior na kuibukia upper layer Jikoni!
 
Hahahahaaaa!!! mambo ya upper layer weeee kiukweli maisha yalikwa mazuri sana,,,,,,,
 
Kwan siku hizi imekuwa ya mchanganyiko?

Zamani zetu ilikuwa ni mchanganyiko japo sheria zile za smart area za mzee Mwangu kwamba wadada wapite upande mmoja na wakaka wapite upande wao ndo ilikuwa shida sana,,,,,,,,
 
nilipita pale mwaka jana nilipokuwa naelekea Machipi kijijini,nilivutiwa nayo sana...kilichonisikitisha ni uchakavu wa majengo,ni kama imetelekezwa vile.

Hivi bado imechakaa vile vile???
kwa muda ambao niliondoka nikadhani shule ya m cuba imekarabatiwa, maana sisi tulivujiwa sana pael Lumumba dom
 
tena nadhan sasa itakuwa zaidi,imekuwa kama magofu vile,sio majengo wala viwanja vya michezo,kama haina mwenyewe vile.Ile ni bonge moja la shule ikikarabatiwa.
 
Hahahahaaaa!!! mambo ya upper layer weeee kiukweli maisha yalikwa mazuri sana,,,,,,,

Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??
 
Hahaaaa mzee mwangungulu aka baba suma enzi hizo head master...hahaaaa
 
Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??

Hahaa ipo si kule karibu na kwa dereva wa roli la shule mzee hussein
 
Nilipata matokeo yangu ya O-level nikiwa Machipi enzi hizo mchanganyiko,japo sijasoma hapo.Mto Lumemo kuna kipindi ulifulika mamba wakaingia mtaani.
 
Hivi bado imechakaa vile vile???
kwa muda ambao niliondoka nikadhani shule ya m cuba imekarabatiwa, maana sisi tulivujiwa sana pael Lumumba dom

Yani imechakaa vibaya,wakati tupo form six tulifanya mgomo yani tuliharibu vitu,tulienda kule mjengoni tulitembeza kichapo kwa walimu,defender kama tatu zilikuja tukafungiwa kule bwaloni,tulichapwa yani askari walituchapa,halafu walushangaa kuona wasichana tunafanya mgomo mkubwa kiasi hiko,yani siku iliyofuata tulipakizwa kwenye magari tukaondolewa shule under police escort,tulifunga shule likizo miezi minne aisee sitasahau maana mimi nilikua kinara wa mgomo,nilinusurika kufukuzwa shule
 
Hi!
Jamani naomba kwa wale wote waliosoma Ifakara sekondari

(machipi) naomba tujikumbushe baadhi mambo ya shule yetu,

1. Mihogo ya ambanjaula

2 nesi wetu wa shule mdundiko na mwingine nesi msukosuko

3 kwenda kuiba. Ndizi na mihogo kwenye mashamba ya shule na kwenda kufichama mto lumemo

4 kupalilia miraba mirefu ya mahindi Kama vile tuko jkt

5 kuvujiwa maji kwa mabweni ya Lumumba na Nkuruma maana pamoja zege lililowekwa kuvuja Kama nyumba ya nyasi vile

5.
6.
7.
Haya comrades was Cuban sec tujikumbushe name engine meeeengi yaliyojiri tukiwa skuli,,,,,,,,,,,

Dah yani ile shamba la mahindi.lilikua linaninyima raha sana maana kuna mwalimu.mmoja aliletwa alikua anaitwa NGUVU TGT dah alikua anatuchapa kule shamba yani alitembeza mboko hadi tukatoroka tukaenda kujificha mto lumemo
 
Mimi ilikuwa zamu yangu ya kuchunga ng'ombe lazima nikamue maziwa! Ukichanganya na upper layer unapata mix ya ajabu!
Yale maisha kweli yalikuwa mazuri!
Hivi kariakoo bado ipo??

Kariakoo ipo mihogo ya juma na likenju ilikua mitamuuu,afu kachori,samaki yani dah nilinenepaje sasa
 
Nilipata matokeo yangu ya O-level nikiwa Machipi enzi hizo mchanganyiko,japo sijasoma hapo.Mto Lumemo kuna kipindi ulifulika mamba wakaingia mtaani.

Kuna kipindi wanyama wakali walikua wanakuja kule intiria na mdundiko,tukanyimwa kwenda maeneo hao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom