Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.
Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.
Ni suala la muda tu!
Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.
Ni suala la muda tu!