Kwa utawala huu tutegemee Muswada wa Sheria kuzuia wasikilizaji wa kesi Mahakamani kuingia bila kibali na simu

Izia

JF-Expert Member
Jun 9, 2021
303
477
Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.

Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.

Ni suala la muda tu!
 
Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.

Hivyo ili kuficha aibu hii kwa serikali si ajabu katika bunge lijalo ukapelekwa muswada wa kuzuia watu kuingia mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu!

Ni suala la muda tu!
Hicho wanachokitafuta watakipata sasa
 
wakati tunalaumu aliyeweka zuio la kuingia na simu mahakamani pia tujitahidi kuelimishana matumizi sahihi ya simu, kuripoti taarifa sahihi kwa kutumia simu yako unapokiwa eneo husika, kuzima simu au kuweka silence tunapokuwa kwenye sensitive area na mambo sensitive, kuacha kutumia simu kueneza propaganda na kuleta shida kwenye jamii nk nk..

ni maoni yangu tu..
 
Tayari kuna kanuni ya kuweka utulivu ndani ya mahakama na ofisi zote za umma. Kitendo cha kuacha simu yako wazi mahakama inaweza kukutia hatiani na ukaadhibiwa. Nina hakika watumiaji wengi huzingatia tahadhari hii muhimu!
 
wakati tunalaumu aliyeweka zuio la kuingia na simu mahakamani pia tujitahidi kuelimishana matumizi sahihi ya simu, kuripoti taarifa sahihi kwa kutumia simu yako unapokiwa eneo husika, kuzima simu au kuweka silence tunapokuwa kwenye sensitive area na mambo sensitive, kuacha kutumia simu kueneza propaganda na kuleta shida kwenye jamii nk nk..

ni maoni yangu tu..
Nawe umo
 
Nchi ni ya kijingaaa sana

Yaan hawa CCM akili zao ovyo sanaa

Unakuta wanatunga Visheria kisa Tundu Lissu. Au Mbowe..

Unajiuliza, hawa watu wanafikiria kwa makalio au Ubongo??
Mbowe anaozea jera wewe na wame zako mpu jf mnapiga kelele tu

USSR
 
Ajira za kupeana kundugu zinawaaibisha. Kifo cha CCM kipo karibu hangaya anaenda kuua chama
 
Imedhihirika bila chenga kupitia kesi ya ugaidi inayowakabili Mbowe na wenzake kuwa waendesha mashtaka wa Serikali ni vilaza wa kuandaa mashtaka na kuandaa mashahidi wao. Aidha Polisi wetu wameonekana ni weupe kichwani kuhusu sheria za jinai za nchi hii.

Hivyo ili kuficha aibu hii kwa Serikali si ajabu katika Bunge lijalo ukapelekwa Muswada wa kuzuia watu kuingia Mahakamani bila kibali na pia kuingia bila simu, notebook na kalamu.

Ni suala la muda tu!
Tumempata dikteta wa kike.
 
Sheria yoyote inayokwenda kinyume na haki za binadamu ni batili hata ikitungwa na bunge mahakama hiyohiyo itaitamka ni batili.

Kumbuka ile ya takrima na ukitaka kupinga matokeo ya ubunge udeposeti sijui million ngapi vile zote zilibatilishwa na mahakama.

Tatizo la mawakili wa serikali saa hizi wapo bar wanakunywa bia asubuhi wanaamkia mahakamani wakati mwenzao Kibatala akirudi home tu akioga akila anaingia library kubukuwa, sasa kwa tofauti hiyo tu huwezi kushindana na mtu kama huyo mkisimama kwenye mambo ya taaluma.

Ni sawa na mtu ana simu ya kitochi halafu wewe una smartphone anakuzidi vipi mtu huyo kwenye kupata information wakati yeye anasubili redio na magazeti?

Kibatala ataendelea kuwabuluza sana hawamuwezi kamwe.
 
IMG-20210916-WA0150.jpg
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom