Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,343
- 24,234
Kwa nini hamkukaribishwa Ikulu?Hatutaona aibu kukiri kuwa JPM aliwatendea mema wamachinga, na wenyewe wataendelea kumshukuru na kumkumbuka daima!
Huo muonekano unaoufurahia hauwapi shibe watu maskini watanzania
Kuna biashara nzuri kule, hela yoote inatoka kule, ukipanga meza mlangoni faida tupu.