Awamu ya pili, ya nne na ya sita zimeleta fujo kwenye usafiri wa umma

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,911
Awamu ya pili ilileta fujo za daladala kwa mara ya kwanza Tanzania, iliruhusu fujo, iliondoa usafiri wa kimpangilio uliokuwepo wa UDA na kuruhusu fujo za daladala.

Awamu ya 4 iliruhusu bodaboda kwa mara ya kwanza kwenye nchi yetu na kuleta fujo, leo hii kila mtu karibia ni mhanga wa fujo zinazoletwa na bodaboda za Awamu ya 4, na awamu sasa imeua Mwendokasi, usafiri iliopaswa uwe wa kistaarabu lakini umegeuka shida na sasa awamu hii wanataka kuleta fujo za daladala tena, kwa kifupi tunarudishwa nyuma.
 
Back
Top Bottom