cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,918
- 189,543
Jamanii aaaah wee, hapana kwa kweli.Ila anasimamisha😂 mgejnga familia bora yenye wokovu na inayompenda yesu
😂😂😂😂😂

Nchi hii ina wengi lakini moyo wangu umekuangukia weweNchi hii sidhani, ntakua nimebaki peke yangu bro 😁
Kama ni kweli pongezi zote zimwendee samia na ccm kwa kuwezesha raia kuoigania ubwabwaKatika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi
Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!
Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.
Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Jihadhari huwa hayaishi mapema atakufanyia hilaSure yani baada ya hapo nimejutia ila tumesha sort kila kitu
Safi sana...Sio kuogopa, nna high selfesteem.....kupigana kutukanana, kukimbilia usafiri naona kama nadhalilika mie nadhalilika sana siwezi
Mwanao hajambo lakini?basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Inachekesha sana, kupita stand gari hiloo linapita ukute la kivukoni sasa au masaki, gari haijasimama mwanamke anaikimbiza balaa ikipunguza mwendo anaidandia.....😂😂😂😂 Heri ninyeshewe mvua ya mawe 😂😂😂 sikimbilii usafiri mieSafi sana...
Hapo vizuri ila shukuru hawakubinya chakula chake na yeye sijui ingekuajeHajambo alhamdulilah
usikimbilie usafiri wa umma, kimbilia usafiria wangu tu...Inachekesha sana, kupita stand gari hiloo linapita ukute la kivukoni sasa au masaki, gari haijasimama mwanamke anaikimbiza balaa ikipunguza mwendo anaidandia.....😂😂😂😂 Heri ninyeshewe mvua ya mawe 😂😂😂 sikimbilii usafiri mie
Nikimbilie vieite au sio.....au ni SSH bicycleusikimbilie usafiri wa umma, kimbilia usafiria wangu tu...
SafiiiiiiKatika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi
Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!
Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.
Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Alafu hizo route ulizozitaja, hahaha nakufuata bila hata kunielekeza...Nikimbilie vieite au sio.....au ni SSH bicycle