DIVISHENI FOO
JF-Expert Member
- Jan 31, 2023
- 2,308
- 5,025
Angejua raha ya lile tendo letu, angeitupa biblia ajiunge na utamu.Yule mkaka hanisahau, yaan alikua anajiona yeye mkamilifu sana, au mtakatifu hivyo.
Mie namueleza wee mkamilifu na mtakatifu kuwa buzzy na hao watu wa aina yako, sisi wenye dhambi na maovu km unenavyo tuache tupotee, jehanam iliwekwa kwa ajili ya watu na watu hao wapo, nikiwepo na mie.
Nilitegemea ataelewa, eti linaleta ujuaji na ubabe, aaah wee nkasema leo tuoneshane Heshima na mipaka yake iwepo.
😂😂😂😂😂 nilijichukulia points,