DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,319
- 83,201
Moderator huyu jamaa aendelee kupewa banI still repeat
No Man will be buried uncircumcised, as long as I'm still working at the mortuary

Bila picha hii story haijakamilika.akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake!
Hapana chezea njaa🤣☝️
Mkuu wewe una bahati una hulka ya kike😄Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi
Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!
Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.
Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Nenda kachome sindano meno ya mtu yana sumuKatika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi
Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!
Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.
Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
😂😂😂Linafaa mkuu nikupe no yake😅😅
You hating on me doesn't change the fact that you're still shit, a 30+ old man being intimidated by a comment ni uzwazwa.Moderator huyu jamaa aendelee kupewa ban
Uvivu tu wa kuilinda amaniHapana chezea njaa🤣☝️
Amani haipatikani ila kwa ncha ya mkuki.Uvivu tu wa kuilinda amani