Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Kwa mara ya kwanza leo nimepigana

Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi

Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!

Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.

Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Ujinga tu
 
Ila wizzo?! Tendo lipi? Utamu upii?
Chizii wee, nikuunganishe nae, umlete kundini?
Nacheka km mwehu vilee, 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 hebu niunganishe naee, tena hao walokole ndo nawapenda haswaa, anakutomba huku anakupa mistari ya biblia. Akishakojoa anajiuma uma pale anajikusanya na biblia yake huku kafura uso, baada ya siku tatu anakutafuta tena, unasikia anakwambia "mamtu mi sielewi huku, uko wapi".

Hapo sasa najibu kwa unyenyekevu mkubwa, "niko geto BA MTU".

Isaya 32:5-89.
 
Mie ni mpole pia sio mpolee.

Unajua kuna kiwango cha uvumilivu km binadamu kinaisha, kinacho fuata ni liwalo na liwe.

Sio kwamba dis za yule mkaka, zilikua zinanistua hapana, ila alivuka mipaka, nikaona nikikaa kimya italeta shida, nijaribu ku clear, yeye analeta ujuaji na ubabe, ningefanyaje?
Alivyotaka na mie nikataka. 😂😂😂😂😂
Hakukitongoza kweli ??
Ndo bifu lilipoanzia akaionba kiubabe

🤣🤣🤣 Jmn jmn ukambania mkaka wa watu ila una zambi wewe coca 🤣🤣
 
Katika makuzi yangu sikumbuki lini niliwahi kupigana na mtu na hata kama nilipokuwa najikuta niko kwenye ugonvi silaha yangu ilikuwa mdomo😁 nilipokuwa/huwa nikion naona mambo yamezidi nanyamaza na kuondoka eneo la tukio ili nsije bandwa😂! Kumbe bwana nilikuwa na ji underrate kumbe ninaweza bwanaa leo kidogo nimrarue mdada mmoja wa kikurya😄 ilikuwa hivi

Nilikuwa nimetoka shift ya mchana, nimechoka na njaa ikiwa imenikolea haswa ,nikaamua kupitia canteen ili nichukue chakula(take away) ili niende nacho nyumbani. Basi mhudumu akawa amenifungia sahani moja ,wakati ananiandalia ya pili mfanyakazi mwenzangu aliyekuwa anaingia shift ya usiku akaingia canteen pia. Sasa, yeye anataka kuhudumiwa kwanza wakati teye kanikuta!! Nikamwambia kwa heshima tu kuwa kila mtu ana haraka na ana njaa, siyo yeye peke yake so awe mpole zamu yake itafika!

Lakini majibu niliyoyapata kutoka kwake yalinitibua. Akanijibu kwa kejeli kwamba yeye anaenda kwenye majukumu, nikamwambia na mimi natoka kwenye hayo hayo majukumu. Hapo ndipo mzozo ukaanza. Chakula changu kilipokuja, akajitokeza kwa nguvu kama anataka kuchukua chakula kile kwa sababu naye aliagiza aina ya chakula nilichoagiza mimi,basi akawa amerusha hela hapo ,,hapo ndipo nikajua mambo yamebadilika.

Nikasema usinitanie nikamkwida shingoni uzuri alikuwa amevaa lab coat ko nikamkwida kisawa sawa hakuweza kufurukuta wakati nimemkwida si akaningata nikapenyeza mkono wa kushoto taratibu nikamminya chuchu si unajua chuchu zinavouma basi akawa amelegeza meno na kuishiwa nguvu nikatake advantage hiyo nikamzaba makofi mawili matatu ya nguvu si akawa amekimbia 😁 akacha na slippers zake! Matukio yote hayo yametokea within few mins halafu uzuri tulikuwa upande wa jikoni hatukuweza kuamuliwa kwa urahis ilikuwa ni nadra kuonwa na watu wengine ..bas hapa napoongea mkono unauma ila sio sana maana kaning’ata ila dam hazijatoka kuna alama kwa mbali..basi bwana siku yangu imeisha hivoo
Duh Kaka unajitahidi sana kujifanya demu! Hongera lkn
 
Nilipokua nasoma bandiko hili nikajua ni mwanaume kaandika..... lakini niliposoma replies ndio nikajua kuwa hii ID kumbe ni yakike

Kuna ongezeko kubwa sana la ID za kike zenye muandiko wa kiume na zinapata wachangiaji wengi sana 🙄
 
Kwa mkaka yule? Hata niwe na muwasho kias gani siwezi kukunja 7. Hivi unajua havutii? Hana ushawishii, kwa kifupi hastui kabisaa.
Anipitie kushoto kabisaa, 😂😂😂😂😂
Ila anasimamisha😂 mgejnga familia bora yenye wokovu na inayompenda yesu
 
😂😂😂 hebu niunganishe naee, tena hao walokole ndo nawapenda haswaa, anakutomba huku anakupa mistari ya biblia. Akishakojoa anajiuma uma pale anajikusanya na biblia yake huku kafura uso, baada ya siku tatu anakutafuta tena, unasikia anakwambia "mamtu mi sielewi huku, uko wapi".

Isaya 32:5-89.
Wizzo acha kudate na vichaa, hao wa kukutafuta hadi wawe na upwiru ni nyokaa.

Si utafute jamaa mmoko ishi nae, afu mbna siku hizi wako wa kushato. Unafelii wapii wee?
Lol 😂😂😂😂😂
 
Hakukitongoza kweli ??
Ndo bifu lilipoanzia akaionba kiubabe

🤣🤣🤣 Jmn jmn ukambania mkaka wa watu ila una zambi wewe coca 🤣🤣
Afu hapana hakuwahi nitongoza, hata huo ukaribu sikuwahi kuwa nae.
Vile tyuuh ni mkorofi au mgomvi, kwa kivuli cha ulokole wake.

Ila angenitongoza ningemkataa, 😂😂😂😂😂
 
😂😂😂 hebu niunganishe naee, tena hao walokole ndo nawapenda haswaa, anakutomba huku anakupa mistari ya biblia. Akishakojoa anajiuma uma pale anajikusanya na biblia yake huku kafura uso, baada ya siku tatu anakutafuta tena, unasikia anakwambia "mamtu mi sielewi huku, uko wapi".

Hapo sasa najibu kwa unyenyekevu mkubwa, "niko geto BA MTU".

Isaya 32:5-89.
Mimi pia ni mlokole
Tunafanyaje ma mtu

Luka 23:4-32
 
Back
Top Bottom