Kwa mabazazi tuu

Kwa mabazazi tuu

Perfect animation😋😁. ... Not like Tom and Jerry😂View attachment 3663441
Screenshot_20260904-204946.png
 
Yule manzi nilisafiri naye toka Dar mpaka Kahama. Kanilalia njia nzima, kanichoma choma na chuchu mara nyingi tu. Ikafika muda akaingia mpaka kwenye masai yangu. Mtu akiona anajua hawa ndio wapenzi sasa.

Tunakaribia Phantoom namuomba namba kachomoa kunipa. Nikaandika fasta kikaratasi nikamuwekea kwenye mkoba hakuwahi kupiga.

Kama unasoma huu uzi nipigie tafadhali. Ilikuwa 2021. Una deni la kulipa, hawezekani unishikishe mapembe njia nzima halafu maziwa nisikamue
Hata madole hukuweka?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom