Kwa mabazazi tuu

Kwa mabazazi tuu

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
372,998
Reaction score
864,074
Namba zote ulizowahi kupewa na mademu uliwatamani
ulipiga ngapi?
Ulisave ngapi?
Ulikumbuka ngapi?
Ulifanikiwa ngapi?

Ulizofanikiwa
Ngapi zilikuwa na ladha?
Ngapi zilikuwa pasua?
Ngapi ulijutia?😂

Kuwa mkweli mbingu zinakuona🤣
 
Hua sichukui namba kama evaluation yangu ya awali inaonyesha uwezekano mdogo wa kupata nyapu, sipotezi muda , nachagua mapambano rahisi . kila namba ninazochukua lazima mzigo utiki.

Kwangu quantity comes first, quality later.
 
Screenshot_20260904-185902.png
 
Hua sichukui namba kama evaluation yangu ya awali inaonyesha uwezekano mdogo wa kupata nyapu, sipotezi muda , nachagua mapambano rahisi . kila namba ninazochukua lazima mzigo utiki.

Kwangu quantity comes first, quality later.
Pitia upya fonebook yako.. Kuna mengi utakumbuka.. Ma a na kufanikiwa ni jambo la kwanza lakini situation kwa ground ni experience nyingine!
 
Yule manzi nilisafiri naye toka Dar mpaka Kahama. Kanilalia njia nzima, kanichoma choma na chuchu mara nyingi tu. Ikafika muda akaingia mpaka kwenye masai yangu. Mtu akiona anajua hawa ndio wapenzi sasa.

Tunakaribia Phantoom namuomba namba kachomoa kunipa. Nikaandika fasta kikaratasi nikamuwekea kwenye mkoba hakuwahi kupiga.

Kama unasoma huu uzi nipigie tafadhali. Ilikuwa 2021. Una deni la kulipa, hawezekani unishikishe mapembe njia nzima halafu maziwa nisikamue
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom