Kwa mabazazi tuu

Kwa mabazazi tuu

Kuna mmoja anamuonekano mzuri ila hana ladha, mbaya zaidi ana kazaigoti tayari kwa ajili ya kunikuzia ukoo.
 
Anapenda dudu hawezi kuwa sister huyu.
🙆🏿‍♂🙌🏿🤣
30+ Plastic Surgery Transformations That Went Vira.jpeg
 
Sasa na wewe kweli mpaka Phantom!!!! Ulitakiwa mshuke Mwendakulima,upande Bajaj ukachuke lodge pale uwanjani.

Terminus-Inn, ingekufaa zaidi.
Nasra popote ulipo,hongera zako. Siku moja tunatoka Kahama,nimekaa na kamama,ila ukikaona kwenye mtandio,kama kadada. Mpaka Morogoro,tishaelewana na kuliwa. Kufika Mbezi,tukashuka,tukazama lodge kwanza. Manina. Kuvua nguo tu,kumbe kajitu kazima, na maziwa yashakuwa malala hoi(kama ndala za lodge). Hata mpaka leo najuta hela yangu ningenunua tu mtaani size nilochagua mwenyewe.
Manina. Kuvua nguo tu,kumbe kajitu kazima, na maziwa yashakuwa malala hoi(kama ndala za lodge). Hata mpaka leo najuta hela yangu ningenunua tu mtaani size nilochagua mwenyewe.😂
 
Sijawahi kuchukua namba , nikafanikiwa kuipata pisi zote ni failed
Shukuru Mungu umeepushiwa mengi😀

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom