Kwani hilo jani ama zile sigara za kiamerika?
Wanyama mabazazi mnakaribishwa kufanya majumuisho ya mawazo na mtazamo!
Unaota 😅😅Hivi pia sikuna Tanzanian Eagle ama naota?
Mabazazi siyo wanyama, bali ni neno la Kiswahili linalomaanisha watu waongaji, matapeli, walaghai, au wadanganyifu. Neno "bazazi" (ambalo wingi wake ni mabazazi) hutumika kumwelezea mtu asiye mwaminifu katika maneno au biashara zake, anayetumia hila kujipatia faida. [1] (Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru), [2] (
View: https://x.com/millardayo/status/763448690128412672), [3] (Ufafanuzi kutoka Wiktionary, kamusi iliyo huru), [4] (https://www.jamiiforums.com/threads/bazazi.234443/)Hivyo basi, hakuna mbuga ya wanyama utakayokwenda na kukuta mnyama anayeitwa bazazi.😂😂😂😂View attachment 3663431
Namba zote ulizowahi kupewa na mademu uliwatamani
ulipiga ngapi?
Ulisave ngapi?
Ulikumbuka ngapi?
Ulifanikiwa ngapi?
Ulizofanikiwa
Ngapi zilikuwa na ladha?
Ngapi zilikuwa pasua?
Ngapi ulijutia?😂
Kuwa mkweli mbingu zinakuona🤣
View attachment 3663340
Linakatika au Lina salia,kwani karibu hajapita fisi pate mate so kidogo?
Je huu mbona ni kama Tumbo wa mbuzi?Kuna moja niliwaji kuikuta hivi 👇
View attachment 3663360
Hapa ukimuuliza hata kinyonga atakuambia hii AI ama fisadi yeyote,hata mafisi ya mtaa wa kijani🤸Perfect animation😋😁. ... Not like Tom and Jerry😂View attachment 3663441
Hapo inabidi mabazazi wenyewe wajitambulishe
Chaputa wasione hiiHizo poison sasa🙌🏿View attachment 3663387