Friends and Our Enemies,
GWAJIMA,ni mtu mwenye akili fyatu,na ni mtu ambae kwa mustakabali wa maslahi yake atafanya chochote ili mradi afanikishe malengo yake.
Tumeona hapo nyuma namna ambavyo amekuwa anaitumia platform ya kanisa lake kukashifu viongozi na kulumbana na watu wa aina mbali mbali.
Ni kwa bahati mbaya sana mtu huyu alidekezwa kwa miaka mingi na hadi ikafikia hatua ya kuona anachokifanya hapo kanisani kwake ni sahihi.
Kanisa ni sehemu ya Ibada na kuchunga hao anaosema ni kondoo wake,Kuna UTARATIBU wa kuendesha Ibada na yapi ayafanye na yapi asijiafanye kulingana na leseni yake.
Hakupewa leseni ya kuendesha kanisa kama sehemu ya HARAKATI za kugombana na serikali,kuleta chuki kwa wananchi na kadhalika.
Amepewa leseni afanye KAZI za Ibada na maombi
Sasa,kwa kuwa baada ya kuondoka CCM atarudi kwa Kasi KUBWA kwenye platform yake ya siku zote ya kushambulia wapinzani wake huku akiegemea kwenye kivuli cha huduma ya bwana,kwanini wizara husika,mfano wizara ya mambo ya ndani ISIMFUNGIE MOJA KWA MOJA KUFANYA HUDUMA HIYO ILI TUONE HICHO KIBRI NA JEURI ANAITOLEA WAPI?